Habari Picha: Dkt. Bashiru akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa wakiwa na bashasha laini Bungeni, Dodoma

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,830
Bashiru Majaliwa.jpg

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Dkt Bashiru Ally Kakurwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo Jumatano Juni 21, 2023.
 
Basi nikaanza kutafuta hizo bahasha laini nikajua ni rushwa, kucheki vizuri kumbe ni bashasha
 
Kuna mmoja hapo alikuwa anaenda mrithi mwenda zake come 2030...

Mungu akatenda Miujiza..
 
Back
Top Bottom