Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,651
- 5,126
Nimefuatilia mahojiano ya Profesa Anna Tibaijuka na Kituo cha Wasafi kuhusu sakata la mkataba wa ki.pu.mbavu ambao Nchi yetu imeingia na Dubai hivi karibuni!
Mahojiano hayo yaliongozwa na Edo Kumwembe na mtu anayejiita Oscar!
Hao wanahabari nawashauri waendelee na mambo ya mpira na mambo mengine ya hovyo hovyo wanayoyaweza na si vinginevyo!
Hawakuwa na uwezo wa kumhoji mtu wa level ya Profesa Anne Tibaijuka!
Tatizo la Wabongo mtu akishakuwa na ujanja ujanja wa mjini na sauti kubwa basi tayari anajibatiza kuwa ni Mwanahabari!
Ona Wanahabari wa hovyo hovyo walivyojazana kwenye media za Tanzania!
Huwezi kufanya mahojiano sensitive na serious kama sakata la mkataba wa Bandari zetu halafu huna uelewa wowote wa Sheria wala Uchumi!
Imefika mahali Tanzania tujenge Mazingira tuwe na wanahabari waliobobea kwanza kwenye taaluma zingine!
Ona eti Oscar anampa Profesa Anna Tibaijuka mfano wa kwenye mpira!
Anauliza swali la kijinga eti kwani kuna ubaya gani kama mkataba unaeleza Tanzania lazima iijulishe Dubai kama kuna fursa kwenye Bandari zetu!
Hawa vi.laza hawajui kwamba kupitia hicho kipengele Dubai wamejipa haki ya " first right of refusal" na wame- diminish sovereignty yetu ya kujiamulia tunavyotaka kuhusu Bandari zetu au Kampuni, Nchi nyingine au mtu wa kufanya naye kazi kama Taifa!
Oscar na Edo Kumwembe endeleeni na mipira hamna vichwa vya kuchambua Sheria wala mambo ya Uchumi!
Ebu angalia hapo Kenya Wanahabari wanapomhoji Rais wao Dr. Ruto , utaona tofauti ya watu wanaojitambua na misukule!
Hapa wanahabari ni Baba Levo, Mwijaku, Maulidi Kitenge, Zembwela n.k!
Hongera sana Paschali Mayalla kwani kwa kumbukumbu zangu wewe ndo Mwandishi wa habari Tanzania uliyewahi kumuuliza Rais Hayati Magufuli swali lenye hadhi ya Urais pale ikulu!
Tanzania imejaa vijana na Viongozi wajinga wajinga sana!
Ngoja Mama aturudishe kwenye utumwa wa Mwarabu kwani hatuna akili ya kujiongoza!