HABARI HII: Taarifa za Mabadilishano ya Wafungwa wa Hamas ya Israel na Marekani

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,977
32,385
Wanaukumbi.

It is important to note that there is an alleged Israeli media blackout surrounding the exact details of the exchange.

However, some sources are publishing indications that suggest there is an alignment on a potential prisoner exchange, and it is getting closer:

- Netanyahu's meeting with families, urging patience and readiness for a solution.

- Israeli media leaks a potential 5-day truce for a hostage exchange.

- Decrease in attacks on the North since last night, with Lebanese politicians advocating for the UNIFIL's continued presence.

- Biden addresses the hostages and their families.

- US leak about allowing $10B payment from Iraq to Iran for unpaid electricity bills.

- Leak indicates IDF's proximity to hostage locations in the Gaza Strip.

- Hamas imposes restrictions on firing and minimal use of rockets

Source: Various reports
 
Attachments

  • IMG_6246.jpeg
    IMG_6246.jpeg
    40.4 KB · Views: 4

Mchawi lugha
 
Hamas agrees to Qatari-mediated deal to release 50 hostages in exchange for 3-day ceasefire, prisoner release - reports
 
watu wanataka kutindua hospitali ya al shifa wakamate magaidi, hiyo ndio story ya mjini, hayo mengine yote uwongo tu.
Watindue tu hamna wa kuwazia magaidi wa siku hizi ni hawa hapa.
Are these the “HAMAS TERRORISTS” hiding in Gaza’s Al Shifa Hospital?
 
Attachments

  • twidown.mp4
    4.7 MB
Toka lini Hamas akapigana mahosptalini au mashuleni haya mnatafuta hospitali daaah.
Hapa wanadhani Hamas wapo kwenye gari la wagonjwa.
 
Attachments

  • IMG_6251.jpeg
    IMG_6251.jpeg
    115.9 KB · Views: 4
Watindue tu hamna wa kuwazia magaidi wa siku hizi ni hawa hapa.
Are these the “HAMAS TERRORISTS” hiding in Gaza’s Al Shifa Hospital?
wakuwalaumu ni hamas, chini ya hospitali ya watoto kama hao wameweka handaki, na wanatumia watoto kama hao kama chambo cha kuizuia israel isivamie hiyo hospitali na kuwafanya watu duniani wailaumu israel. sasa israel imesema, inazo mashine za betri inataka kuwapatia na wanataka kuchukua hao watoto wawapeleke israel hospitals wakatibiwe, hamas hawataki.

hata awali walikuwa hawataki, wanaambiwa evacuate wagonjwa peleka kusini kwa ambulance, wanasema hawataki, wakipigwa wanasema israel inapiga hospitali, sasa kwanini wasipigwe wakati eneo limegeuka kuwa la kijeshi? wewe unafikiri kwanini hawataki watoto wakatibiwe israel? ajabu sasa, hilo jengo pande zote mbili limeshazingirwa na hamas wanaomba po ya siku 5 na wao watawalipa mateka 70. wanaficha nini hapo? hiyo itakuwa breakthrough kubwa kwa Israel kuudhihirishia ulimwengu kuwa hamas alikuwa anajificha katikati ya raia na kwenye hospitali ndiko wamejificha.
 
Si wamesha vamia hiyo hospital sisi tunasubiri Israel ituoneshe mateka na viongozi wa hamas mlio kuwa mna dai wako ndani ya hospital hiyo.
 
Kama ni hivyo mbona Al Shifa imetekwa na IDF
Mwanzo wa statement yake amesema hii habari ni alleged. Akimaanisha haina proof. Halafu pamoja na hivyo hawawezi tu kutoka kirahisi eti kwa sababu kuna jambo fulani linaendelea. Operesheni inaisha mpaka itakapokuwa imeisha
 
Back
Top Bottom