gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yafanua gharama za upimaji wa ardhi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya amesema gharama za kupanga na kupima kiwanja kimoja katika maeneo yaliyoendelezwa zimepunguzwa hadi Shilingi 130,000, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa gharama kwa wananchi. Mhe. Mmuya amesema hayo leo Agosti 31, 2026...
  2. baba luno

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama za ushuru na mapato ya TRA.

    Habari wanajamvi, Naomba kufahamishwa ni gharama kiasi gani za ushuru na mapato ya TRA nitalazimika kulipa endapo nitanunua gari either mpya or used kutoka upande wa pili wa majirani zetu hapo Zambia? Na je inaweza kua nafuu kidogo ukilinganisha na ukiagiza kutoka japani kupitia bandari yetu ya...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Afunga Wi-Fi ya Bure Usiku Kupata Ulinzi wa Vijana Bila Gharama

    TAMALE, GHANA – Mmiliki mmoja wa jumba kubwa la kifahari (mansion) katika mji wa Tamale nchini Ghana, amegundua mbinu ya kipekee na ya kijasusi ya kuimarisha ulinzi wa nyumba yake kwa kutumia teknolojia ya internet. Mwanaume huyo, ambaye ripoti zinasema alikuwa akikabiliwa na changamoto ya...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Endometriosis Kenya: Maumivu yanayofichwa, gharama zinazobebwa na Mwananchi

    “Period pain ni kawaida.” Kwa miaka mingi, kauli hii imewafanya wanawake wengi kuvumilia maumivu makali bila kujua kuwa huenda kuna tatizo kubwa zaidi linalohitaji matibabu. Simulizi ya Natalie Githinji imefungua tena mjadala kuhusu endometriosis nchini Kenya. Natalie, ambaye amekuwa...
  5. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino gharama mia tano imeniponesha

    Nimeteseka sana na maumivu ya jino aiseee nimetumia dawa za hospital na kienyeji siku mbili tatu maumivu yanarudi Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni. Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jino
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akidai mtoto ni wako yeye ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha na kugharamia gharama za DNA. Ikibainika ni wako, mnagawana gharama.

    MWANAMKE AKIDAI MTOTO NI WAKO YEYE NDIYE MWENYE WAJIBU WA KUTHIBITISHA NA KUGHARAMIA GHARAMA ZA DNA. IKIBAINIKA NI WAKO, MNAGAWANA GHARAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanamke ambaye hujamuoa. Sio mkeo. Ikatokea ulilala naye na bila shaka ni kwa lengo la starehe kwa sababu ingekuwa ni...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nilitaka kununua Drone kwa matumizi binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko za kununua?

    Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5. Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi, tena Mtanzania 1. Kuisajiri $100 kwa drone (mara moja) 2. Kuitumia kwa siku $5 au kwa mwezi $100 au kwa...
  8. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupangilia chumba au sebule yako bila gharama:

    Watu wengi wanaamini kuwa ili uwe na sebule au chumba kinachovutia kama picha za kwenye mtandao, lazima utumie mabilioni ya fedha kununua samani za gharama. Ukweli ni kwamba, siri ya muonekano wa kisasa na wa kifahari (cozy vibe) ipo kwenye mpangilio, rangi, na vitu vidogo vidogo. Kama unataka...
  9. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi zinatofautiana

    KWA NINI GHARAMA ZA UJENZI HAZIFANANI? Umeshawahi kujiuliza: Kwa nini nyumba ya 150 SQM inaweza kugharimu tofauti na jengo jingine lenye 150 SQM? Jibu ni hili: SQM PEKE YAKE HAIAMUI GHARAMA YA JENGO. Nyumba ya makazi inaweza kuwa na partitions nyingi, vyumba, vyoo na finishing mbalimbali...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu Yakabiliwa na Kitendawili cha Maendeleo: Nani Atalipa Gharama?

    Waharakati wa Lamu wameitaka Serikali kuhakikisha wakazi wanaoweza kuathiriwa na mradi unaopendekezwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote wanalindwa na maslahi yao kuzingatiwa. Waharakati hao wanasema maendeleo ya kiuchumi hayafai kuja kwa gharama ya kupoteza ardhi, mazingira na riziki...
  11. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Sealing la ufahamu: unaweza kuongeza siti/viti kwenye van bila kuongezewa gharama za ushuru?

    Kama mjuavyo magari Kama Nissan Caravan van au Hiace super GL hayawi na siti na ushuru wake uko chini ukilinganisha na magari Kama hayo hayo lakini ni Wagon. Swali langu ni je inawezekana kuongeza siti kwenye van bila kuongezewa ushuru wakati wa kubadilisha kadi ya gari? Nb. Title isomeke swali...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  13. Vien

    JamiiForums Tanzania Wanao kushauri wanakuonyesha njia tuu, Gharama za kupita utazibeba mwenyewe

    Maisha yanapokuwa magumu, kila mmoja huwa na maoni yake. Unaweza ukawa unapitia changamoto za biashara, mahusiano, kazi, au hata hali ya kifedha. Wakati mwingine unaweza ukahitaji msaada wa fedha ukakosa, ukahitaji mtu akuombee ukakosa, lakini ukakuta watu wengi wako tayari kukushauri. Na hilo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ardhi na Gharama yake katika Mikoa na Wilaya

    Naomba tushare gharama za maeneo kulingana na
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Goba tuwekewe Kituo cha Daladala, kutegemea hizi zinazopita kunatuathiri na kutupa gharama kubwa

    Nikiwa mmoja kati ya Wakazi wa Goba, naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya usafiri wa umma inayotukabili sisi wakazi wa Goba na maeneo yanayotuzunguka. Kwa sasa hatuna magari ya umma ya kutosha yanayotoa huduma moja kwa moja kama daladala za uhakika. Mara nyingi tunategemea...
  16. Vien

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wengi wanauonea wivu uhuru wa waliojiajiri, lakini hawajui gharama ya huo uhuru

    Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara. Waajiriwa wengi wanawatazama waliojiajiri kwa jicho la wivu. Wanaamini kujiajiri ndiyo uhuru wa kweli. Unaamka muda unaotaka, unafungua biashara muda unaotaka, unafunga muda unaotaka, hakuna boss wa kukupangia ratiba, hakuna mtu wa kukuuliza kwa nini...
  17. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

    It will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex. Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
  18. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali iboreshe huduma za usafiri wa anga na kushusha gharama za nauli ili Wananchi wengi wapande

    Serikali iangalie kwa karibu sekta ya usafiri wa anga nchini, hasa suala la gharama kubwa za nauli za ndege ambazo zimekuwa changamoto kwa Watanzania wengi. Kwa sasa, wananchi wengi wanashindwa kumudu usafiri wa anga kutokana na bei kuwa juu ukilinganisha na uwezo wao wa kifedha. Tunaiomba...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka SMZ, itoe ufafanuzi kuhusu usahihi wa gharama za Miundombinu ya AFCON Zanzibar

    Prof. Omar Fakih Hamad, Mnadhimu wa ACT Wazalendo, Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ndugu Wanahabari! Hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu, aliyetujaalia uhai na uzima na kutuwezesha leo hii tukajumuika pamoja hapa katika ukumbi wetu wa Chama kwa ajili ya kuzungumza nanyi masuala yaihusuyo nchi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Michese ujenzi utaisha lini? Diversion ni ndefu inayoongeza gharama ya nauli

    Barabara kipande cha vumbi Michese Dodoma ni kero kubwa na baada ya njia rasmi ya magari kufungwa na inayokusudiwa na wasafiri kutopewa umuhimu sisi wakazi wa Michese tunateseka saana usafiri umekuwa mgumu saaana ni kama hatuna diwani wala serikali. Njia rasmi ilifungwa kupisha SGR inayokwenda...
Back
Top Bottom