gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. astalavista

    JamiiForums Tanzania Pata gb za Vodacom kwa gharama nafuu zaidi. Huduma ni buree

    Mtanzania, Vodacom Tanzania imekusogezea huduma ya vifurushi vya SME BUNDLES kwa gharama nafuu kulinganisha na vifurushi vya kawaida. Nipigie 0795790411 niweze kuiwezesha line ili kupata access ya hvifurushi hivi. Hakuna gharama ya kuiwezesha line, kuhusu kujiunga ni mteja mwenyewe utajiunga...
  2. 888I

    JamiiForums Tanzania DESEMBA 9: Ushindi wenye gharama, nani alishinda nchi Ilipofungwa?

    Wadau, Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo mengi, lakini biashara zilisimama, na hofu ilitanda. Uchambuzi wangu unaonyesha kuwa huu ulikuwa...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar Bolt ipo ya Bodaboda tu? Na kwanini ni gharama sana kuliko bara?

    Nisiwachoshe. Zanzibar pia kuna bolt, ila ipo ya boda tu hawana ya gari. Ila ni bei kubwa saaaaaaaana karibia mara 3 bei ya huku bara. Mfano, nime request kutoka Stone Town hadi Aman Abeid Karume Airport, karibia kilometa 8 bei inasema Elfu 8. Nikisema ni request Ubungo hadi Morroco Bus...
  4. aise

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

    Habari wakuu, nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master) Sebule, Jiko, Na choo Cha public. Ni ramani simple lakini ya Kisasa. Ramani hii itachukua Tofali 1,600 Saruji 30 Nondo 20 Mchanga mende 1 Kokoto gari 1 n.k n.k Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10. Karibu...
  5. Think2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama za kutoka na Mchepuko

    1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
  6. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kubadili kadi ya umiliki wa bajaj na gharama za bima pamoja na LATRA

    Hqbari wakuu. Nimenunua bajaj kutoka kwa mtu, sasa nataka kubadili jina la umiliki, kwa maana kadi isome jina langu. Mwenye anafahamu taratibu na gharama za kubadili kadi anijuze. Pia hii bajaj haina bima nataka niikqtie bima, hivyo anaejua gharama za bima kubwa kwa upande wa bajaj anijuze pia...
  7. Logikos

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulitumia gharama sana kufungua Nchi; Sasa tunajifungia kimzaha mzaha

    Tulijitenga na Mwamba, lawama tukamtupia na video tukatengeneza, sio moja tu bali tukatengeneza version mbili ya kule kuonyesha kwamba alikuwa katili na hamnazo na asiyesikia la mtu..., tukasema sisi huko hatuendi tunakwenda huku pengine...; Filamu tukaitangaza kuliko kutangaza kile...
  8. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania AZAM TV, ubora na gharama zenu haviendani

    azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside...
  9. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita si ndwele tugange yajayo, kidonda kitapona maisha yataendelee, Uhuru una gharama zake

    Watanzania bado tunaendelea kubeba maumivu ya yaliyotokea. Lakini kushindana na mwenye silaha hakutaleta suluhisho, bali Maumivu zaidi. Waliotenda mauaji walifanya hivyo si kwa uungwana wala kuzingatia utu na utanzania wetu, Hata hivyo kila jambo lina mwisho. Maisha lazima yaendelee. Heshima na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho ni moja TU, Polisi lazima walipe Gharama ya vifo vilivyosababisha kwa watanganyika wenzetu

    Tumefiwa wapendwa wetu kwa risasi Hadi tumepanick juu ya kuenenda kwenye taifa hili. Huruma ya Mungu iwe juu yetu, kama taifa tuwe na namna Bora ya kusuluhisha jambo hili. Ili wasio na hatia wasifikwe na madhara kama hayo yanayoweza kutekelezwa na wananchi wenye hasira Kali. Mungu tuhurumie...
  11. The introvert

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za vifurushi vya intaneti (2021) mpaka sasa

    Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali. Kumbukumbu zinaonesha kuwa kabla...
  12. The introvert

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za vifurushi vya intanenti (2021) mpaka sasa

    Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali. Kumbukumbu zinaonesha kuwa...
  13. 100 others

    JamiiForums Tanzania Sio Tamaa ya Madaraka, Bali Hofu ya Kulipa Gharama za Uovu

    Mtandao wa ufisadi, mauaji, wizi , utekaji, madili feki na kila aina ya uchafu ni mkubwa sana, ni chain ndefu na network kubwa sana. Na wanaofanya hivyo ni wanufaika ambao ni mawaziri, wakurugenzi, wabunge, wakubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama , wafanya biashara wakubwa, makada, viongozi wa...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Gharama za iPhone mpya kuanzia 2007-2025!

    Hapo mwanzo, iPhone zilikua na bei ya kawaida tu. Ila sahivi.
  15. OLS

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Msaada gharama za kuanza clinic

    Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa? NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ni chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda? Sielewi

    Jamani najiuliza ni kwamba nimefungiwa jini chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda mara dufu? Yani mpaka sasa hivi nimeshatumia elfu 17 na sijafanya anasa yoyote. Nimenuna sukari 500 Maandazi 2000 Majani ya chai 100 Mkaa 1200. Watoto hawajala mayai miezi sita na mmoja ni mgonjwa...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gharama za michango ya harusi na sintofahamu ya chakula

    Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula...
  19. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania EV zina gharama ndogo za uendeshaji kuliko magari ya ICE. Sema ngumu sana kumshawishi Mtanzania

    Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa. Najua kwa...
Back
Top Bottom