Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Mkoa wa Lindi maisha gharama sana

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,673
Reaction score
97,443
Huku labda uwe unakula mihogo tu.
Chips kavu 2,500/= hapa nimeagiza Chips yai sijui itakuja bei gani?

Hafu sehemu local tu wala sio ushuani.
IMG_8074.jpeg

Hii sumu 1,200/=

Hapo Shoppers 850/=

Huku ila mafuta bei ile ile kama mjini.
IMG_8045.jpeg
 
Katika sehem ambapo nashindwa kuspend hata Kwa siku mbili ni Lindi. Mji wa zamani lakini maemdeleo yamechelewa sana.

Ila uzuri wa Lindi vyakula vya baharini ni bei chee sana. Hapo iyo buku 2 ungekula ugali samaki ungeshangaa unapata samaki wa maana tu.
 
Bob ni Lindi ipi hiyo unayoizungumzia vyakula vya bahari bei rahisi?

Lindi si sehemu ya kuishi kiumbe hai hapana kwa kweli hapa nazungumzia Lindi mjini
 
Hili nakataa Kariakoo ni sehemu nayoijua vizuri sana na nilikuwa hapo mwezi uliopita tu bei za vitu ni ghali sanaaaaaa hakuna kinachopatikana kwa bei rahisi Lindi
Unafananisha na mkoa gani bosi? Me naishi kigamboni, huku pweza wa elfu tano huwezi kula na familia lkn pweza wa elfu 5 Lindi ni wakutosha.

The same Kwa samaki kama vibua, changu, tasi n.k pale kariakoo Lindi ni wa kuzoa kama somanga tuu. Kwangu mm ni cheap sana ukilinganisha na feri au Kigamboni nakoishi
 
Bei zavitu zimepanda kote mwez huu beverage ziko juu hata hapa dar maji yajero saiv TSH 600 hio soda sehem nying nibei hio ila samak lindi uhakika mi napajua vizur ila inategemea nabamvua kule kibua wabuku unakula unaenjoy
 
Hili nakataa Kariakoo ni sehemu nayoijua vizuri sana na nilikuwa hapo mwezi uliopita tu bei za vitu ni ghali sanaaaaaa hakuna kinachopatikana kwa bei rahisi Lindi
Kariakoo hakuna soko la samaki...pale ni ofisi za maji na stendi labda na hospitali ya sokoine ..labda kama unamaanisha fisi...ila bado bei tu vilevile....
 
Back
Top Bottom