gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi wa Umma hayaendani na gharama halisi za nauli kwenye soko la sasa

    Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka. Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vita ya ufahari, gharama ubabe na kupimana ubavu

    https://www.facebook.com/share/r/19UEzPsz9d/
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Watoto 10,000 huzaliwa na matatizo ya moyo Tanzania, gharama ya matibabu hadi Sh16 milioni

    Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maendeleo na gharama za viwanja vitakavyotumika katika Michuano ya AFCON 2027

    Tanzania Benjamin Mkapa Stadium (Dar es Salaam) Ujazo: 60,000 Gharama: $90M (Initial Construction), $12M (Renovations) Maendeleo: Renovations finalizing Vyanzo: IPP Media (https://www.ippmedia.com/the-guardian/business/read/special-report-2024-05-23-185807), Wakala wa Majengo Tanzania – Paul...
  5. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazosababisha gharama za ujenzi kutofautiana hata kama mchoro ni uleule

    Hata kama mchoro wa nyumba ni uleule, gharama za ujenzi zinaweza kutofautiana sana kutokana na mambo yafuatayo: 1. Mahali pa Ujenzi (Location) Bei ya vifaa hutofautiana kulingana na eneo Gharama za usafiri wa vifaa (mchanga, kokoto, saruji n.k.) Upatikanaji wa mafundi na malipo yao 2. Aina na...
  6. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari radio na televisheni vinapataje faida na mapato wakati gharama za uendeshaji ni kubwa ??

    Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k.. Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Bima ya Afya kwa wote ni Tsh. 150, 000 kwa kaya, wasio na uwezo kugharamiwa na serikali

    Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza. Katika awamu hiyo, kitita cha huduma muhimu za afya kitatolewa na skimu za Bima ya Afya kwa gharama ya shilingi 150,000 kwa kaya yenye watu wasiozidi sita. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya wakiristo hutumia gharama kubwa

    Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini. Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii. Na yaona ya muasisi wa chadema. Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Trump: "Iran msiache kuandamana, msaada utafika hivi karibuni, Hifadhini majina ya wauaji watalipa gharama kubwa, "

    Ameandika hivyo Rais wa Marekani Donald Trump kwenye mtandao wake wa Truth
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi UDOM tunalipia gharama ya hosteli lakini ukikamilisha usajili unaambiwa vyumba vimejaa, tunalazimika kubebana

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel. Kibaya zaidi mfumo wa Chuo (SR2) unakulazimisha ili ukamilishe usajili lazima ulipie accommodation fee (gharama ya hostel)...
  11. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
  12. Mcmillan de Maghayo

    JamiiForums Tanzania Kwa gharama hizi ndio maana majengo Kenya yanaporomoka

    Hebu angalia hapo chini gharama ya ujenzi Kenya ukilinganisha na jengo bei haiendani kabisa. Huyu ni injinia wa majengo lakini bei yake rahisi sana. Ghorofa hili eti anakujengea hadi finishing shilingi za Kenya million 70- 75 ukibadilisha kwa madafu 1.34 billions kweli inawezekana bongo...
  13. Llio 002

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima na kufanya underground water survey kwa gharama nafuu

    Habari wana jamii forum,sisi ni wataalamu na wabobevu wa uchimbaji wa Visima vya maji kwa kutumia mitambo maalumu Tunachimba visima virefu na visima vifupi Pia tunafanya Underground water survey ili kufahamu kama eneo lako lina maji,kama yapo jee yapo umbali gani na wapaswa kuchimba kisima cha...
  14. Massenge1

    JamiiForums Tanzania Jipatie miche ya matunda na mbogamboga - gharama nafuu, ubora wa juu

    Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania. 🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!) Aina zinazopatikana...
  15. Voldemort

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF 👋 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  16. astalavista

    JamiiForums Tanzania Pata gb za Vodacom kwa gharama nafuu zaidi. Huduma ni buree

    Mtanzania, Vodacom Tanzania imekusogezea huduma ya vifurushi vya SME BUNDLES kwa gharama nafuu kulinganisha na vifurushi vya kawaida. Nipigie 0795790411 niweze kuiwezesha line ili kupata access ya hvifurushi hivi. Hakuna gharama ya kuiwezesha line, kuhusu kujiunga ni mteja mwenyewe utajiunga...
  17. 888I

    JamiiForums Tanzania DESEMBA 9: Ushindi wenye gharama, nani alishinda nchi Ilipofungwa?

    Wadau, Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo mengi, lakini biashara zilisimama, na hofu ilitanda. Uchambuzi wangu unaonyesha kuwa huu ulikuwa...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar Bolt ipo ya Bodaboda tu? Na kwanini ni gharama sana kuliko bara?

    Nisiwachoshe. Zanzibar pia kuna bolt, ila ipo ya boda tu hawana ya gari. Ila ni bei kubwa saaaaaaaana karibia mara 3 bei ya huku bara. Mfano, nime request kutoka Stone Town hadi Aman Abeid Karume Airport, karibia kilometa 8 bei inasema Elfu 8. Nikisema ni request Ubungo hadi Morroco Bus...
  19. aise

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

    Habari wakuu, nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master) Sebule, Jiko, Na choo Cha public. Ni ramani simple lakini ya Kisasa. Ramani hii itachukua Tofali 1,600 Saruji 30 Nondo 20 Mchanga mende 1 Kokoto gari 1 n.k n.k Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10. Karibu...
  20. Think2

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoka na Mchepuko

    1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Back
Top Bottom