Colnell Nangaa
JF-Expert Member
- Mar 15, 2025
- 537
- 1,100
Kuna vitu vinasikitisha sana.
Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu.
Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote zinazofanyika kushusha bei ya mafuta na kupunguza gharama za maisha kwetu wananchi wa chini ila inatolewa Milioni 500 kwa ajili ya timu ya mpira ya vijana chini ya miaka 17.
Shime vijana wa Tanzania, tuingieni tena barabarani kuwaambia hawa wapuuzi kuwa tunataka gharama za maisha na bei ya mafuta ipunguzwe kama ambavyo wamefanya vijana wa Kenya.
Haya manyani ya kijani hayatakiwi kuendekezwa kwani yamevimbirwa na kodi zetu sasa yanajiamulia yatakavyo.
Pumbavu zao.