gari

  1. Muheza: Wanakijiji wamjeruhi Afisa Kilimo na kuchoma gari lake wakimtuhumu kushindwa kusimamia maslahi yao

    Wananchi wa Kijiji cha Kambai, kilichopo Kata ya Kwezitu, Wilaya ya Muheza, Mkoa wa Tanga, wamewasha moto gari la Afisa Kilimo wa Kata ya Tongwe jirani, aina ya Suzuki, na kumjeruhi. Wanaoshutumu afisa huyo wanadai kwamba ameshindwa kusimamia maslahi ya wananchi, hivyo kuruhusu wawekezaji...
  2. Gari za watoa misaada Gaza zilipigwa kwa makusudi moja baada ya nyengine

    Mwanzilishi wa shirika la kutoa misaada ya chakula la WCK, Jose Andres amesema kuuliwa kwa wafanyakazi wa shirika lake ilikuwa ni kitendo cha makusudi kilichofanywa na jeshi la Israel. Katika mahojiano aliyofanya na redio moja ya Israel mwanzilishi huyo amesema magari matatu yalikuwa yakitoka...
  3. Nani ameona picha ya Gari ya Ole Sendeka iliyochakazwa kwa risasi?

    Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona? Naomba picha nilione na mie Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
  4. Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

    Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia. Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza...
  5. Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
  6. Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

    Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha. Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
  7. R

    Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

    Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa. Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
  8. Channel Ten yamlilia Mwandishi wao aliyefariki katika ajali ya Gari iliyoua Waandishi wa Habari Wawili Mkoani Pwani

    Waandishi wa habari wawili kutoka mkoa wa Lindi wamefariki Dunia baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi kupata ajali majira ya saa 7 za usiku wa kuamkia March 26, 2024 eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji, mkoani Pwani. Waandishi waliofariki ni Abdallah Nanda...
  9. F

    Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria, usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli

    Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
  10. Tips zitakazokusaidia kutunza gari lako likadumu muda mrefu zaidi

    Wakuu. Najua wengi uwa tunajiuliza, inakuaje gari la mwaka 2015 linatoka Japan likiwa na Kilometa 100,000 linafika Tanzania baada ya mwaka mmoja linaonekana chakavu ova limekaa miaka 20 mbele? Ni kweli tatizo linaweza kua gari lenyewe, miundombinu yetu, mmiliki/dereva, hali ya hewa na sababu...
  11. L

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  12. Gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari

    Habari zenu, Wakuu shida ni nini hapo mana gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari (taa ya betri na taa ya oili)
  13. Naitaji Gari la Kukodi kwenda Singida

    Jaman Nina Safari ya kwenda Singida kesho Tuko watu 3 na mizigo yetu Tunaitaji gari la kutupeleka Tu Mtu ambae Yuko interesting please nipm Niko dar es salaam jaman sorry, swaumu Kali leo
  14. Ruvuma: Watu 9 wafariki baada ya Gari yao kusombwa na Maji

    Watu tisa wamefariki dunia katika kijiji cha Lumeme Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah lenye namba za usajiri T795 BIS kusombwa na maji kwenye mto Kisimani. Gari hilo lilikuwa limetoka katika kijiji cha Tingi wilayani Nyasa kuelekea kijiji cha...
  15. HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika namba 4. Bado Subaru Forester, tako la Nyani na IST wako mbele yake ila inaonesha jinsi gari mwaka...
  16. Msaada: Gari ndogo Imejam tyre za nyuma

    Hello wakuu, hope mko poa. Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida. Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break sikuwa nimeweka so tusiende huko) ila baada ya muda mfupi nikajaribu tena kuondoka ikakubali bila...
  17. Weka picha ya gari namba 'E' kuonesha utajiri wa Tanzania

    Mimi nimeishia la saba B, hivyo siwezi bishana na mwenye PhD. Leo nilikuwa natembea nikaona gari kadhaa za namba E, nimezipiga picha. Kwa wengine kama mkiyaona yapigeni picha kuonesha utajiri wa watu wa nchi hii. Pia kama ukipita bar au club piga picha nyomi tuone utajiri wa nchi.
  18. Mwenye uzoefu wa gari za Byd yangwang kutoka China

    Gari za byd yangwang zinazotengenezwa china mwenye kujua zipoje.je kwa afrika zinafaa maana wanateknolojia ya umeme na smart AI nyingi sana kwenye gari. Sifa ya injini yake inajitengenezea yenyewe umeme na kusukuma gari sio kama ile ya tesla mpaka uchaji ukilinginisha hii gari.
  19. Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

    Habari za muda huu waungwana. Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk. Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
  20. S

    Namalizia kuandika kataa ndoa linapita gari limebeba maharusi

    Kupanga ni kuchagua. Uzi tayari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…