Msanii wa muziki zuchu kupitia kipindi cha (lavidavi) cha wasafi fm ambapo alipokua akihojiwa Anjela, ameahidi kesho 22/8/2024 atamnunulia anjela gari aina ya Crown kwani ni kama dada yake na hakuna anaejua kesho huenda iko siku Anjela atakuja kumsaidia na yeye.
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam wiki hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
Wanajamvi
Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani.
Hii imekaaje?Ni sahihi kweli?
Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
Bilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti..
===
A Nigerian man has recently buried his father in a brand new BMW, instead of a coffin, according to...
Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kununua gari wanazotamani kuwa nazo, lakini ukweli ni kwamba matumizi ya gari kuna muda ni makubwa kuliko uhalisia wenyewe, mimi kama muagizaji na muuzaji wa magari leo napenda kuwashauri jambo moja kuhusu fomula ya kutumia gari. Nunua gari ambayo unaweza...
Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume.
"Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa"...
Habari,
Nataka niende Bukoba..je Kahama Kuna gari za kwenda Bukoba na zinaondoka saa ngapi..na gari Gani nzuri kufika Bukoka ...nauli ni shingap nani mwendo wa masaa mangapi?
Wakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.
Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)
Asanteni.
Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna...
Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104.
Lissu ameandika kupitia Mtandao wa ax (Twitter) kuwa
"Mchango Update Latest: Nilitoa update mara ya mwisho tarehe 13...
Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class.
Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama zaidi na zaidi, leo utanunua harrier lakini unahisi kwa uwezo ulionao unapaswa ununue fortuner.
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.