gari

  1. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nahitaji bass spika ya mziki wa gari 10 inch

    Wakuu mulibwanji..... Nahitaji bass spika ya mziki wa gari ambayo haina box iwe uchi. Iwe 4 ohms Iwe na double coil Na iwe na sehemu 2 za kuingizia sauti yaani hasi ziwe 2 na chanya ziwe 2. Iwe haijawahi ungua. Angalia hiyo kwenye picha mfano wake sasa iwe kama hiyo kama ipo nicheck 0756 412 380
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lissu amejifunza nini kujitokeza kwa watu wachache sana kumchangia pesa za kununua gari la kifahari?

    Ndugu zangu Watanzania, Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi. Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa Million 15 Kushuka chini, naweza kupata Gari kutoka Japan?

    Habari za mishe mishe wakuu. Kila mtu anatamani harufu ya gari kutoka Japan. Tatizo linaweza kuja kwenye budget. Sasa tu-assume tuna maximum budget ya Mil 15 tu, je tunaweza kupata gari kutoka JP? Magari ya Million 15 na kushuka chini 1. Honda Fit (2nd gen, 2007 -2012) Unaweza ukapata hii...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo tayari kupokea Electrical Vehicles (EVs)?

    Wakuu habari. Bado Watanzania wengi tuna wasiwasi kuhusu "transformation" kutoka kwenye magari ya kutumia mafuta (ICE - Internal Combustion Engine) kwenda magari ya Hybrid (pamoja na Plug-in Hybrid) au kumaliza kabisa full Battery Electrical Vehicles (BEV). Nilikua napenda tujaribu kudiscuss...
  5. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 17m napata gari gani kutoka Japan

    Habari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na ikizidi sana basi 18m. Ni gari kwa ajili ya familia na mizunguko ya hapa na pale tu mjini.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

    Habari wana JF.. gari hizo hapo juu zote ni namba E zinauzwa nipo dsm kwa maongezi mazuri nitafute namba 0744566124
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

    Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao. Vile vile madereva wa hayo magari, kama Lewis Hamilton, Max Verstappen nk wakionesha ubabe nyuma ya steering. Ukichukulia poa, utasema vile...
  8. Saad30

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari kali - BMW 320I 3 series linauzwa

    BMW 320I 3 series YEAR: 2014 Cc: 1,990 MILLEAGE: 64k COLOUR: BROWN PRICE: 36M plus free regstration Cream interior, sports and economy drive, 8 gears change,automatic and manual drive, angel eyes, fog lights, sports rims, back camera, rotating seats, dvd players car in super mint condition...
  9. X

    JamiiForums Tanzania CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Lengo la Uchangiaji wa gari ya Lissu ni shillingi ngapi?

    Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
  12. Teremaro

    JamiiForums Tanzania Gari kugonga gonga

    Habari ndugu WanajamiiForums, Nina gari aina ya nissan duals ya mwaka 2011 nikipita kwenya mashimo nackia kama ingonga gonga kwa mbalii naomben anayeweza kujua tatzo itakuwa ni nini kabla cjaenda kwa fundi
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mdai wangu amesema amenisamehe deni analonidai ila niwe makini barabarani gari lake linakawaida ya kufail breki

    Ni baada ya kumwambia kwa sasa nitashindwa kulipa deni lake la laki tatu hali yangu bado sio nzuri ajabu hiyo kauli aliyonipa ni kuwa amenisamehe ila niwe makini barabarani hii kauli alikuwa na maana gani wadau?
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Gari la mchango la makamu Mwenyekiti CHADEMA

    kumekua na maswali mengi sana, kuhusu gari la mchango la makamu mwenyekuti wa chadema, kwamba gari hilo la mchango ni kwaajili ya matumizi na kazi za chama au kazi zake binafsi? ni vema chimbuko la jambo hili likawekwa bayana vizuri wengi hawaelewe vizuri. Na kwamba wachangiaji wa gari...
  15. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Tambiko la Wanyaturu kwa gari la Lissu, wahusika bora wajitokeze

    Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya. Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

    Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike. Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lissu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Lissu alipaswa kuwajibika, ajabu anachangisha anunuliwe gari

    Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe gari.? Kama Tundu Lissu ni msafi why he still associated with the worst criminals waliopokea...
  18. samuelmwakasungula

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya Prado

    Kwa mtu ye yote ambaye atakuwa anauza gari aina ya prado liwe na hari nzuri, bajeti yangu M13 namba yangu 0673505972
  19. Full charge

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa wasafiri kwenye Magari ya Umma

    HIvi mtu anatokaje asubuhi hajapiga mswaki, kuoga, kuvaa nguo safi? Yaani unakuta mtu anaingia kwenye gari ananuka kikwapa mdomo makalio mpaka mtu unaogopa kukaa nae. Hii kitu huwa inanikwaza sana tena sana halafu chakushangaza ni mtu mzima kabisa na anataka aanze na kuwaongelesha watu na...
  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje? Lissu acha...
Back
Top Bottom