gari

  1. afrique

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
  2. Ashura9

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

    UFAHAMU KWA WENYE MAGARI; Tairi ikizidi miaka mitano haifai kutumika. Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne (4) tu toka yatengenezwe (sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Unguja: Mke achoma moto gari ya mumewe baada ya kuoa mke wa 2

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limeanza kufanya uchunguzi zaidi kuhusu tukio la Msimu Jaffari (33), kudaiwa kuchoma moto gari ya mumewe, ambaye wiki iliyopita alitoa taarifa ya kuongeza mke wa pili katika ndoa yake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Suleiman Hassan alithibitisha...
  4. No Escape

    JamiiForums Tanzania Huku kitaa: Utajiri ni nyumba na gari Tuu!...

    Usishangae Ukaanza kutengwa,kukopwa na Hata kurogwa kwa sababu huku kwetu tunaamini kabisa huwezi kuwa na hivyo vitu km wewe sio Tajiri na sie huku tuna Aleji na hao watu!!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Toyota Porte

    Ninahitaji gari aina ya porte kuanzia namba D Iwe nzuri , bajet yangu ni milion 5 cash , Mwenye nayo anione inbox tumalize biashara Asante
  6. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Toyota Raum Review: Karibu tupeane uzoefu kuhusu gari hili

    Toyota Raum ni gari dogo lililotengenezwa na kampuni ya Toyota na kuuzwa kwenye soko la ndani la Japan (JDM) kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2011 ambapo uzalishaji wake ulisitishwa rasmi. Gari hili liko kwenye kundi la magari madogo kwa ajili ya matumizi mbali mbali yajulikanayo kitaalamu kama...
  7. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Unaangalia vitu gani wakati wa kukagua gari jipya au lilotumika ?

    Habari zenu, Aisee ni vitu gani muhimu vya kuangalia wakati nachukua gari jipya au lililotumika?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia kazi, iwe ya hesabu au mkataba

    DEREVA WA UBER NATAFUTA GARI dereva wa uber mwenye uzoefu wa muda mrefu natafuta gari ya kufanyia kazi iwe ya hesabu au mkataba ni maelewano tu. nipo Dar Es Salaam..nakubali gari ya aina yoyote ilimradi imekidhi vigezo vya uber. Asanteni kwa mawasiliano 0756002927
  9. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Hatua gani za kuchukua unapoagiza gari ukakuta kimeo baada ya kufika nchini?

    Wajuzi tafadhali. Nimeagiza Gari but tangu limefika limeweka kiota cha kudumu gereji. Kwa Hali hii naweza fanyeje ili nipate haki yangu hasa kwa agent aliyeniagizia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vitu gani muhimu vya kuangalia na kukagua wakati wa kununua gari kwa mtu

    Wajuzi naomba nipeni elimu kidogo nataka kuchukua ndinga kwa mtu ni Toyota Allex, ni vitu gani vya muhimu kuangalia na kuchunguza kabla sijatoa hela nisije kupigwa.
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

    SUMAYE AREJEA RASMI CCM Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM) Disemba 4, 2019 alitangaza kuachana na CHADEMA huku akidai alikosea kudhani kuna demokrasia ndani ya chama hicho. Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alijtoa CCM...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa Uber

    Hellow, Naitwa Neema (msichana) ni dereva natafuta gari kwa ajili ya Uber, yeyote anayehitaji dereva wa Uber tafadhali wasiliana nami kupitia: 0748341758
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unaposafiri na gari yako umbali mrefu

    Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri. Ili kuhakikisha usalama wako pamoja...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

    Nauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za kutoa gari Zambia na kuisajili Tanzania

    Msaada, kuna gari inauzwa Zambia na imesajiliwa inapiga kazi. Nikitaka kuileta Tanzania. Naomba kujuzwa utaratibu na gharama ukoje. Aina ya gari ni Rosa.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

    Mafundi na wenye magari naomba kueleweshwa tatizo la gari langu. Asubuhi nimeamka kwa ajili ya kwenda Kanisani, baada ya kushusha handbrakes na kuanza kuondoka, tairi la upande wa kulia nyumba likagoma kuzunguka. Nikilazimisha linaslide tu. Kwa kweli sijajua tatizo mpaka sasa. Mwenye utaalamu...
  17. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodisha iwe Iringa tu

    Habari za jioni kama ambavyo kichwa cha habari hapo juu kinasomeka nahitaji gari ndogo ya kukodi naendesha mwenyewe gari iwe nzima na tair nzima maana ni kwa ajili ya masafa ya mikoani wewe mwenye gari unaona lipo tu halina matumizi sana na upo Iringa na unajuwa gari yako ipo vizuri kwa masafa...
  18. mwakifamba

    JamiiForums Tanzania Gari za mnada UNHCR

    Habari, Huwa kuna kipindi shirika la unhcr huuza magari yao yaliyoshatumika.Kwa anayejua, sio anayedhani, anayejua, gari km hii hap iliyoshatumika unaweza pata kwa bei gani?
  19. mwakifamba

    JamiiForums Tanzania Kupaka rangi upya gari hii bei gani

    Habari kwa mafundi, kupaka upya rangi gari km hii hapa kwa dar inaweza kuwa bei gani. nataka iwe black metallic. Haina mikwaruzo kivile cha muhimu rangi bei yake inaweza kuwa bei gani Itakuwa vzr nikipata jibu kwa watu wanaojua sio mtu tu ku gesi na kujibu.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Betri ya gari yenye waranti ya mwaka mmoja imekufa baada ya miezi 10 wanakataa kunibadilishia

    Kama kichwa kilivyo, Nilinunua battery ya gari March 2019, leo imekufa narurisha dukani , wanagoma kunibadilishia wakidai ilitakiwa ninunue battery kubwa zaidi kwa ajili ya hiyo gari yangu, na tulibadilisha na kuweza saizi ile ile iliokuja na gari, na ndio saizi yake halisi. Ni wapi...
Back
Top Bottom