Msaada: Gari ndogo Imejam tyre za nyuma

user037

Senior Member
Dec 25, 2015
113
120
Hello wakuu, hope mko poa.

Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida.

Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break sikuwa nimeweka so tusiende huko) ila baada ya muda mfupi nikajaribu tena kuondoka ikakubali bila shida.

gari nimeiacha huko huko kazini nimeogopa isijeleta madhara mengine ( si mnajua tena uoga wa kitu kipya + uzoefu sifuri)

naomba kujua inaweza kuwa shida ni nini?
Sijawahi fanya service ya miguu anzia gari imefika (Used from Japan)

Je, service za miguu zinaweza kuwa bei gani? (Miguu yote minne)

Aina ya gari: Toyota Allex

Thanks
 
Inawezekana sana tatizo ni breki zako. Ama zina mafuta yasiyofaa au mafuta yaliyochoka au kuna maji na kutu kwenye cylinders. Badilisha breki kusudi unedeshe kwa usalama bila ufumbufu wowote
 
Hello wakuu, hope mko poa.

Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida.

Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break sikuwa nimeweka so tusiende huko) ila baada ya muda mfupi nikajaribu tena kuondoka ikakubali bila shida.

gari nimeiacha huko huko kazini nimeogopa isijeleta madhara mengine ( si mnajua tena uoga wa kitu kipya + uzoefu sifuri)

naomba kujua inaweza kuwa shida ni nini?
Sijawahi fanya service ya miguu anzia gari imefika (Used from Japan)

Je, service za miguu zinaweza kuwa bei gani? (Miguu yote minne)

Aina ya gari: Toyota Allex

Thanks
Yaweza kuwa Bearings zimechoka.
 
Umejaribu kukagua hizo drums za nyuma? Je break shoes?

Kwa kifupi peleka fundi akague mfumo wote wa tairi inaweza kuta una shida kubwa sana mzee.
 
Back
Top Bottom