gwaru upande
JF-Expert Member
- Mar 26, 2024
- 247
- 403
Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
Shilling 600 ya nauli tu, inakufanya ujikaushe duh Dar kuna njaaUkiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
This is too much kwa kweli. Tunaharibu hadhi ya wanaume hutu tuvijanaMnajishtukia mno mwishowe mjambe kwa kujibana pumzi pasipo sababu
duh wajambe pwaaaaaaaMnajishtukia mno mwishowe mjambe kwa kujibana pumzi pasipo sababu
Yaan mmekuwa mnatufikiria vibaya muda wote aiseeThis is too much kwa kweli. Wanaharibu hadhi ya wanaume hutu tuvijana
😂😂😂😂😂Mnajishtukia mno mwishowe mjambe kwa kujibana pumzi pasipo sababu
Umeanza😁Anajua kwamba upo huku?
Nilitaka ila ukasanua mpangoUtajijua,si uligoma kujenga🤨
Saivi itabidi tutafute mahali pengine nilimalize hiliNikasanua vp na mwenzio nilikuwa serious jaman
SawaSaivi itabidi tutafute mahali pengine nilimalize hili