gari

  1. Expensive life

    Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

    Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha. Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
  2. R

    Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

    Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa. Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
  3. Roving Journalist

    Channel Ten yamlilia Mwandishi wao aliyefariki katika ajali ya Gari iliyoua Waandishi wa Habari Wawili Mkoani Pwani

    Waandishi wa habari wawili kutoka mkoa wa Lindi wamefariki Dunia baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi kupata ajali majira ya saa 7 za usiku wa kuamkia March 26, 2024 eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji, mkoani Pwani. Waandishi waliofariki ni Abdallah Nanda...
  4. F

    Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria, usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli

    Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
  5. Mad Max

    Tips zitakazokusaidia kutunza gari lako likadumu muda mrefu zaidi

    Wakuu. Najua wengi uwa tunajiuliza, inakuaje gari la mwaka 2015 linatoka Japan likiwa na Kilometa 100,000 linafika Tanzania baada ya mwaka mmoja linaonekana chakavu ova limekaa miaka 20 mbele? Ni kweli tatizo linaweza kua gari lenyewe, miundombinu yetu, mmiliki/dereva, hali ya hewa na sababu...
  6. M

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  7. Ignas mgaya

    Gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari

    Habari zenu, Wakuu shida ni nini hapo mana gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari (taa ya betri na taa ya oili)
  8. hp4510

    Naitaji Gari la Kukodi kwenda Singida

    Jaman Nina Safari ya kwenda Singida kesho Tuko watu 3 na mizigo yetu Tunaitaji gari la kutupeleka Tu Mtu ambae Yuko interesting please nipm Niko dar es salaam jaman sorry, swaumu Kali leo
  9. KING MIDAS

    Ruvuma: Watu 9 wafariki baada ya Gari yao kusombwa na Maji

    Watu tisa wamefariki dunia katika kijiji cha Lumeme Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah lenye namba za usajiri T795 BIS kusombwa na maji kwenye mto Kisimani. Gari hilo lilikuwa limetoka katika kijiji cha Tingi wilayani Nyasa kuelekea kijiji cha...
  10. Mad Max

    HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika namba 4. Bado Subaru Forester, tako la Nyani na IST wako mbele yake ila inaonesha jinsi gari mwaka...
  11. user037

    Msaada: Gari ndogo Imejam tyre za nyuma

    Hello wakuu, hope mko poa. Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida. Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break sikuwa nimeweka so tusiende huko) ila baada ya muda mfupi nikajaribu tena kuondoka ikakubali bila...
  12. Analogia Malenga

    Weka picha ya gari namba 'E' kuonesha utajiri wa Tanzania

    Mimi nimeishia la saba B, hivyo siwezi bishana na mwenye PhD. Leo nilikuwa natembea nikaona gari kadhaa za namba E, nimezipiga picha. Kwa wengine kama mkiyaona yapigeni picha kuonesha utajiri wa watu wa nchi hii. Pia kama ukipita bar au club piga picha nyomi tuone utajiri wa nchi.
  13. Kaka yake shetani

    Mwenye uzoefu wa gari za Byd yangwang kutoka China

    Gari za byd yangwang zinazotengenezwa china mwenye kujua zipoje.je kwa afrika zinafaa maana wanateknolojia ya umeme na smart AI nyingi sana kwenye gari. Sifa ya injini yake inajitengenezea yenyewe umeme na kusukuma gari sio kama ile ya tesla mpaka uchaji ukilinginisha hii gari.
  14. African Geek

    Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

    Habari za muda huu waungwana. Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk. Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
  15. S

    Namalizia kuandika kataa ndoa linapita gari limebeba maharusi

    Kupanga ni kuchagua. Uzi tayari
  16. G

    TUMEPIGWA? Hili ni treni la SGR nchini Kenya miaka sita iliyopita. Gari linaifukuzana nayo kwa speed ya 120 Km/Hour

    Ni miaka sita iliyopita
  17. Minjingu Jingu

    Msaada jamani hizi gari 3 Mazda CX5, Mitsubish Outlander SportsstyleEditon, Toyota Vanguard

    Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya 1. Utumiaji mafuta 2. uimara 3. Speed 4. Kupatikana vipuri 5. Ukisasa zaidi 6. Mwonekano mzuri. 7. Bei zake sokoni Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
  18. Y

    Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Habari wana JF. Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu. Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka 2018. Takribani miezi mitatu, gari lilianza tatizo la kushtuka stuka (inakita) ukiwa mwenye mwendo. ...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

    Habari za Jumapili, Maisha sio Pouwa! Nakubaliana na wale wanaosema Maisha ni majaliwa. Na jitihada hazizidi kudura. Wapo waliosoma kwa bidii mila hiyo na waliona taa ya matumaini kulingana na matokeo ya darasani waliyokuwa wakiyapata. Waliamini kuwa maisha yao na hatma yao ipo mikononi mwao...
  20. Trubarg

    Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

    Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni. Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500...
Back
Top Bottom