BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) NA MKANGANYIKO WA UDAHILI WA WANAFUNZI WA MKUPUO WA MACHI, 2021. JE, WATENDAJI WAKE WANAPINGANA NA MAONO YA RAIS WA NCHI ?
Kwako Waziri Pro. Joyce Ndalichako!
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge...
Kuna movie inayoitwa 'hornet' nimetoka kuicheki hapa karibuni, na pia niliona imerushwa kwenye channel ya maisha magic bongo ya dstv hapa juzi usiku ikiwa imewekewa script za kiswahili. Hii movie inaonekana imetolewa na serikali ya marekani na katika maelezo yake ya awali inaonekana ni...
Pesa ni muhimu aisee, pesa hainunui Kila kitu ila inakamilisha mambo mengi sana, ikose ujue namaanisha nini.
Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa sina pesa nlikuwa nashindia kiazi utamu kilichochomwa, nashushia maji ya bombani, hicho kiazi ndio msosi wa siku nzima.
Nimewahi kukaa na chaja ya...
Najaribu kuunga dots kuwa huenda baada ya Kagame kupeleka wajeda wake kule Msumbiji ndio chanzo cha ziara ya siku kadhaa ya bwana Mabeyo pale Kigali
Mods tafadhali msiufute huu uzi maana hauna maudhui yoyote mabaya
Habari wakuu?
Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar.
Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.
Kwa wazoefu wa haya...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia.
Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
Nafahamu kuwa ili Mtumisshi awez2 kihama kituo chake Cha kazi no sharti awe amekaa.k2a.mida usiopunguaa miaka 3,vinginevyo mwajiri ndiye amhamishe!
Je Standing Order inasemaje iwapo Mtumishi ana matatizo ya kifamilia ambayo no Genuine mfano ...kuumwa,kuuguliwa nk !
Wakuu habari za muda na wakati huu,
Kwa sasa kumekua na wimbi la watu wanaotafuta noti za shilingi 500 zile za zaman mpk wanadiriki kutoa dau nono kwa yeyote aliyenazo, unakuta mtu anatoa mpk 30,000 kwa ajili ya noti moja ya 500.
Je, kuna kitu gan cha special kias kwamba mpaka mtu anatoa kias...
Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa😂😂😂
Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu recruitment process yao huwa inachukua muda gani?
Habari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri.
- preferably those with video stabilizer (stabilization)
Brands: Xiaomi, Oppo, One Plus, etc.
Sorry, iphone is not my preferred brand.
Your help pls.
Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka ni sharti kuwe na mstari mwekundu kwenye mahusiano. Ama sivyo?
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi.
Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni.
Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
Jaribu kukaa utulie uangalie picha za bwana Polepole na za rais wa America bwana Joe Biden halafu utaamini maneno yangu kuwa hawa binadamu wenzetu wamefanana sana
Pia angalia namna wanavyoongea na namana wanavyotazama lazima tu utakubaliana na maneno yangu
Kingine angalia hata makalio yao ni...
JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE
Habari ndugu zangu wa JamiiForum ,
Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi.
Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia.
Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia?
Je mimi nitakua nakosea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.