gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vitu gani unavyovihofia zaidi maishani ambayo ni vya asili?

    Habari za Majukumu Wana JF kichwa cha habari kinahusika kama mnavyojua maisha yamejaa kuogofya kiasi kwamba hata uwe na mabaunsa lakini huwezi KUKOSA hofu moyoni. Binafsi woga nilionao MAISHANI ni Uzee na Kifo maana najua hakuna aliwahi kwepa. Uzee unakuja bila hodi mdogo mdogo kadri umri...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa aina ya bati ya kuchaguala?

    Habari wadau, Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa. Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi BATI ZA RANGI Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema...
  3. JamiiForums Tanzania Nawauliza CCM wenzangu, Katiba mpya ina ubaya gani?

    Kila linapoletwa ubaoni na mezani suala la Katiba mpya, wanaCCM huwa mbele kuvuruga kwa kelele kupiga. Katiba ya sasa ya Tanzania iliandikwa mwaka 1977, takribani miaka 44 iliyopita. Katiba hiyo imeshafanyiwa mabadiliko mbalimbali zaidi ya kumi. Ndiyo kusema bila kuhema kuwa Katiba ya sasa ina...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Ni kwa namna gani tutapunguza tatizo la ajira kwa vijana kutoka vyuoni

    NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la ajira.Vijana hawa wana zidi kuongezaka mtaani na kufanya tatizo la ajira kuwa suguu Ila kwa elimu...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi sindano au sylinge kama hii zimetengenezwa kwa matumizi gani ktk kipindi hiki cha kudungana vijanjo vya majaribio?

  6. JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science

    Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science. Na ina utofauti gani na BAF
  7. JamiiForums Tanzania Msiba gani umekuumiza sana huu mwaka 2021?

    Tokea mwaka uanze ndo kwanza tuko mwezi wa 7 ila tokea January mpk sasa kuna misiba mingi imetokea. Kwa upande wako taarifa za kifo cha nani mtu maarufu zilikuhuzunisha na kukusikitishasana huu mwaka 2021?
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kung'oa mzungu, naomba msaada kwa hapa Dar wazungu wanashinda mitaa ipi?

    Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea. Makato yamezidi, watanifilisi hawa. Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu. Natanguliza shukrani
  9. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  10. JamiiForums Tanzania Gharama za kupima Covid-19

    Wakuu tafadhalini Naomba munijuze bei gani kupima Covid-19 kwa raia wa kawaida na maeneo yanayotoa huduma ya upimaji ya Coronavirus
  11. JamiiForums Tanzania Chanjo ya covid-19 inatolewa hospital gani nikachanjwe?

    Wakuu hospital gani hapa dar inatoa chanjo na masharti gani yanatakiwa ili nipate chanjo? Mwenye kujua anipe utaratibu.
  12. JamiiForums Tanzania Hapa duniani kitu gani kilitakiwa kiwe bure?

    Hivi hapa duniani unadhani ni kitu gani kilitakiwa kiwe bure ila ndo kinauzwa lakini hakistahiki kuuzwa. Kinatakiwa kitolewe bure kwa kila anaehitaji?
  13. JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  14. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ana Division ONE HKL anataka kuchukua Journalism nimpe ushauri gani?

    Mdogo wangu amepata matokeo hayo je journalism inalipa?
  15. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi wako ambaye umemchoka bila kumtamkia kwamba humtaki?

    Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano. Wengine huwatamkia waziwazi wapenzi wao kwamba waachane na wengine hupunguza tu mawasiliano mpaka mahusiano yanakufa kabisa. Binafsi ninapotaka kuachana na mwanamke...
  16. JamiiForums Tanzania Hapo "Cutting Master Barbershop" kunyoa bei gani?

    Nauliza tu. Je, bei gani kunyoa style ya kawaida tu. Na.. Naona mtandaoni wanatupia picha za warembo wamenyolewa je wananyoa na wanaume au? Nakuja Dar karibuni, sehemu nilizopanga kutembelea moja wapo hapo.
  17. JamiiForums Tanzania Kwani kudai Katiba mpya kuna dhambi gani?

    Hebu tuambizane ukweli, kudai katiba mpya kuna dhambi gani katika taifa hili mpaka kufikia hatua ya kufungulia na kesi za ugaidi? Kwani mjadala tu wa kuidai katiba mpya una tatizo gani hadi kufikia kukamata viongozi wote wa chama kimoja kilichotajwa kufanya mjadala huo? Hivi ni kweli CCM...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hospital gani nzuri nitapata dermatologist hapa Dar

    Ndugu habarini? Naomba kuuliza kwa hapa Dar Hospital gani nzuri nitapata dermatologist.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mzimu gani CCM?

    Kuna mzimu fulani ndani ya CCM ambao una nguvu kubwa kuliko ambavyo mtu anaweza kufikiria. Mzimu huu haonekani wala hwezi kuushika. Lakini upo. Mtu anapokuwa nje ya mfumo wa CCM na serikali yake anaweza kuonekana kuwa mtu wa busara na hekima. Mtu kama kama huyu akiongea huwa anatema nondo tu...
  20. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa ni mambo gani mnatakiwa kuzingatia wewe na mchumba wako

    Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana? Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…