Kabla ya kuoa ni mambo gani mnatakiwa kuzingatia wewe na mchumba wako

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,683
2,000
Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana?

Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.

1627021888726.png
 
king herode

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
316
500
Sipo ndoani ila nipo kwny mahusiano ya muda mrafu sana nadhan naomba nikupe hongera sana kwa jukumu hilo nadhani ndoa ni ibada na uvumilivu mengine nyongeza tu mzee.

Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuandika ili ndoa ishamiri inatakiwa mwanamke avumilie ujinga wa mmuwe na mme astahimili upumbavu wa mkewe.

Asubhhi njema
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,303
2,000
Inategemeana unapendelea Nini yaani kipaumbele chako mkuu. Wapo wanaoa degree,kazi,umbo,kabila,dini,kimo,umbile,sura,nguvu,uvivu,sex doll,mfanyakazi wa ndani,mama wa nyumbani,rangi,Tabia,Taifa la mtu,matako,matiti,kiuno,level ya elimu yake,wazazi wake wakoje kiuchumi,

familia tajiri,wapo wanaocheki kwao Kama ni kijijini,wapo wanaojikita kuangalia Koo yake imekaaje tokea waliozaa babu za muolewa walikuwaje, uzazi wao unaendeleaje,Kuna mchawi,wezi,Malaya,wazembe ie wavivu kwao binti,wanacheki je mamaye anamtawala babaye Mana 3/4 ya tabia ya binti ni ya mamaye,wanacheki Kama iyo Koo binti wakiolewa wanatulia kwa ndoa ama ni micharuko, wapo wanaocheki mashangazi zake wakoje huko walikoolewa,mama zake wadogo pia,Kama Kuna dada zake wametangulia wamekaa kwa waume zao ama wanajiuza huko kwenye mabaa mahotel makubwa ama wamepata zali la kuolewa na bilionea Mana naye atakuwa anakusumbua na siku akipata bilionea anakuacha,

Wapo wanaojikita kuangalia utu wa mtu na Ile urembo wa ndani usionekana machoni, pia ukicheki Kama Koo Yao wamesoma ama wanajituma so hata MTT akienda kwa mjomba,mamdogo Kuna mahasira anayapata baadaye unashangaa anko wake anakuwa role model wa mtt wako mmoja,Mana atamkuta mjomba wake labda ni mkulima mkubwa wa matrekta so naye atapanda wazo akiwa mdogo Sana ( hii mie imeniathiri Mana maisha yangu niliyo nayo nilipata inspiration tokea kwa bamdogo ,nilishtuka najiambia moyoni mwenyewe kuwa namie nikiwa mkubwa lazima nitakuja kufanya Kama hichi anachofanya huyu mzee).

Mkuu mke sio wa kukurupuka Mana ni mtu ambaye anakuja kuzaa ukoo wako na kuota kwenu yaani awe Kama amezaliwa kwenu,anakuzalia watt wa namna gani Mana lazima watachukua Koo ya mama tokea kwa Koo ya aliyotokea mama yake na baba yake pia.
Ina depend na kigezo chako ni Nini Kama unaoa labda huku blood vessels zimejaa damu Ile mbaya mpaka nyama inakuwa mfupa hapo tunasema emotions or limbic brain hijacking pre frontal cortex brain so utakuja kushtuka ama kurudisha akili baada iyo limbic brain kuacha kufanya kazi baadaye Cortex brain ika take part yake Mana hapo hakuna emotions Wala Nini so utaanza kuona kama hafai.

So ndugu nakutakia uchaguzi mwema Sana upate kile unachokitaka ulichokuwa unakiwaza ukiwa mdogo. Maneno gani ulikuwa unaniambia kuwa mkeo atakuja kuwaje ndo huyohuyo utakuja kupewa na ulimwengu.
Our universe is like our Boss it gives us what we ask it to give/pay us.
 
mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
15,742
2,000
Hakikisha ukimwandaa analowana kule kwa down vinginevyo utapaka mate
 
Mwambwaro

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,523
2,000
Hongera ila cha kuzingatia chunguza family yake na yeye kwa ujumla pia dini wote muwe na dini moja Kama sio dini moja muwe na muelekeo mmoja wa din
 
king mbappe

JF-Expert Member
Jul 26, 2018
844
1,000
kikubwa chunguza sana mkigombana anakutamkia maneno gani.. hayo atayokutamkia ndo jinsi anavyokuchukulia wewe..
sasa kama utaweza kuishi na mwanamke anayekuchukulia hivyo basi we oa.

RESPECT ni kitu kikubwa ambacho mwanamke anatakiwa amuoneshe mwanaume, sio wakati wa furaha tu hata wakati wa karaha.
inatokea mnagombana afu mwanamke anakimbilia kukujibu kunya?
 
Sweet16

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
4,315
2,000
Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana?

Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
Hayo mambo hayana formula we kama ukiona mtavumiliana ishini....huwezi kusema unajipanga kitabia, mwanadamu sio robot kusema asibadilike, huwezi kusema ujipange kiuchumi kila siku mahitaji ya mwanadamu yanaongezeka kulingana na kipato unachokuwa nacho.....
 
Sweet16

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
4,315
2,000
kikubwa chunguza sana mkigombana anakutamkia maneno gani.. hayo atayokutamkia ndo jinsi anavyokuchukulia wewe..
sasa kama utaweza kuishi na mwanamke anayekuchukulia hivyo basi we oa.

RESPECT ni kitu kikubwa ambacho mwanamke anatakiwa amuoneshe mwanaume, sio wakati wa furaha tu hata wakati wa karaha.
inatokea mnagombana afu mwanamke anakimbilia kukujibu kunya?
Mmmh kwani hawezi kubehave kimaterial kabisa ili tu aingie kwenye ndoa aitwe mrs afu ndo aoneshe her true colour....ndoa hainaga commando Wazee adi wa miaka 60+ wanakoseana
 
king mbappe

JF-Expert Member
Jul 26, 2018
844
1,000
Mmmh kwani hawezi kubehave kimaterial kabisa ili tu aingie kwenye ndoa aitwe mrs afu ndo aoneshe her true colour....ndoa hainaga commando Wazee adi wa miaka 60+ wanakoseana
Nimesema hamna kukoseana au ni jinsi anavyokujibu mkikwaruzana? soma vzuri Sweet
 
Sweet16

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
4,315
2,000
nimesema hamna kukoseana au ni jinsi anavyokujibu mkikwaruzana? soma vzuri Sweet
Kupretend kwan sh ngapi....ndoa ni vile tu watakubaliana wenyewe anaweza akamjibu vibaya lakini mapenzi upofu ata asione kama anakosewa
 
Frank wangwe

Member
May 24, 2021
18
45
Kachek afya kwanz kwa pamoja na uepuke kupekua cm ya mkeo jombaaa kila la kheriii ktk ndoa yako MUNGU awape aman na upendo mzae watt wakawe na furaha mbele ya MUUMBA
 
Kyokola

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
1,417
2,000
kikubwa chunguza sana mkigombana anakutamkia maneno gani.. hayo atayokutamkia ndo jinsi anavyokuchukulia wewe..
sasa kama utaweza kuishi na mwanamke anayekuchukulia hivyo basi we oa.

RESPECT ni kitu kikubwa ambacho mwanamke anatakiwa amuoneshe mwanaume, sio wakati wa furaha tu hata wakati wa karaha.
inatokea mnagombana afu mwanamke anakimbilia kukujibu kunya?

Uko sahihi kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom