gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Hii alama ya duara katika line yangu ya simu inamaanisha kitu gani?

    Kama picha inavyojieleza hapo wakuu unaweza kuona hako kaalama ka duara katika hiyo line ya simu.Wajuzi wa masuala ya tech nijuzeni tafadhali hako ka alama kanamaanisha nini? Kuna saa kanatokea halafu baada ya muda kanapotea.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maswali gani yanayoulizwa mara kwa mara kwa kada ya uhasibu kwenye interview?

    Habari zenu wakubwa? Najua humu kuna experts wa kila fani.so binafsi nilikua naomba kusaidiwa kupewa orodha ya maswali ya interview kwa wahasibu yanayoulizwa mara kwa mara na panelists both in private and public sectors ili mimi na wenzangu tuweze kujifunza jambo. Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania Bei gani kupaka rangi upya huko Dar es Salaam

    Hii Toyota Brevis ninayo toka 2013. Machine haina shida wala kipengele chochote. Ila rangi nimeshabandika sana mitaani. Sasa nataka iwekwe rangi upyaaaaaaa iwe sexy kama imetoka jikoni leo. Ndani kwenye sit na dashboard imeshachakaa,nikipakia demu naanza kujitetea sana.Nataka ing'ae kote...
  4. JamiiForums Tanzania Profile picture yako ina maana gani?

    Nimegundua kitu watu huwasilisha ujumbe kwa kupitia profile picture zao,na moja kwa moja aidha ujumbe husika mara nyingi huwa unamhusu mtu husika. Kinaweza kuwa kitu unachokipenda au ambacho kinahusu maisha yako ktk namna fulani, karibuni hapa tuelezee kwa uchache tu kwanini unatumia hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya yaanza utafiti ikiwemo kubaini waliochanjwa wamepata Kinga kiasi gani

    Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa kimatibabu (Clinical trials); 4) kuchunguza mpangilio wa vinasaba (Gene sequencing); 5) hali ya kimelea...
  6. JamiiForums Tanzania Ina maana gani kisheria unaposema "to press charges"?

    Kwamba ,kwanza mtu anadhaniwa kwamba amekosa, halafu inakuwepo nia,hamu ya kumpeleka mahakamani. Utawasikia watu Mara nyingi wanasema,"Ningeweza kumfungulia mashtaka,nilimfumania live,lakini sikufanya hivyo." Kwa hiyo inawezekana kusema kwamba hakuna lazima iwepo kesi ya Mbowe,kwamba ulazima...
  7. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kiasi gani kwa nchi kudhibiti fedha za kigeni?

    Wakuu, tuliona jinsi JPM alivyofunga brueau de change ghafla na kuweka wanajeshi wakilinda. Hii ilikuwa oparesheni kubwa na ya kushtukiza. Bila shaka ilikuwa na umuhimu mkubwa sana. Naomba kuelimishwa umuhimu wa nchi kucontrol fedha za kigeni.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

    1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kufuta zaidi ya kesi mia nne ndani ya miezi Saba nyingi za watuhumiwa wa uhujum uchumi,mahakama ina umuhimu gani nchini?

    Kesi nyingi zilizofunguliwa na awamu ya JPM zimefutwa, watuhumiwa wengi tulioambiwa walihujumu uchumi wakanyimwa dhamana wameachiwa kwa maelezo kwamba serikali haina umuhimu wakuendelea na kesi hizo. Awali tuliambiwa wanazungumza na DPP wanalipa lakini Leo hii hakuna anayezungumza na DPP Wala...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Funzo Gani Kubwa Ulijifunza / Unajifunza Kutoka Kwa Wazazi wako

    Habari Wana JamiiForums! Poleni na harakati za utafutaji wa riziki, hongereni pia. MUNGU awajalie katika utafutaji wenu. Hili ni jukwaa la elimu, kama mada inavyojieleza, naomba tupate elimu kidogo kupitia wazazi wetu. Karibuni
  11. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na nchi za kiarabu una tija? Una uhusiano na gani watawala wa regime hii?

    Hizi habari zimeanza kusikika Sana,hizi safari za masharikk ya mbali zimeibuka Sana,Ni ipi tija?Wakina Benjamini na John waliziona hizi fursa ambazo wenzetu wanaziona leo? #HABARI Waziri wa Nishati January Makamba, amewasili nchini Saudi Arabia kwa mwaliko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia...
  12. JamiiForums Tanzania Nini sababu za Facebook kublock account ya mtumiaji

    Habari za humu wadau natumaini ni wazima kwa ambao awapo vizuri kiafya ama majanga tuendelee kuwaombea heri wamalize mwaka huu salama Jukwaa hili sijaingia muda mrefu sana nilipata mambo mengi kupitia hapa ya kiufundi kipindi nafanya blogs nawashukuru wote ambao siku mliekuwa mnatoa michango...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni fedhea Viongozi wa CCM kuandaa zoom meeting kuwajadili machinga. Ni Machinga gani ana muda wakuingia zoom kushiriki mjadala?

    Nimeana Zungu na wengine wameitisha mkutano kupitia Zoom kujadili kadhia ya machinga kuondolewa baadhi ya maeneo kwa lengo lakutaftiwa maeneo mengine. Swali ninalotaka kujiuliza, hiki kiburi cha hawa viongozi kwenda Zoom kuwajadili machinga wanakitoa wapi? Kwamba walishindwa kuwatetea Bungeni...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kampuni/toleo gani la simu ni nzuri kwa badget ya 300k?

    Nahitaji simu angalau yenye unafuu kwa ajili ya dogo. Badget ni kama inavyosomeka hapo juu.
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu anakuona sema Ukweli Wewe uko Kundi ( Daraja ) lipi ( gani ) hapa?

    Ufuatao ni mtiririko wa Ufaulu wa Kitaaluma ( Chuo Kikuu ) kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree ) na tabia ya Mhusika katika Jamii na hata Maisha yake ya baadae..... 1. FIRST CLASS G.P.A Hawa huwa ni Watu wenye Akili nyingi ila katika Maisha ya Mtaani ndiyo huwa Wafeliji wakubwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kuuzwa bei gani?

    Nahitaji kujua tathmini ya kuuza nyumba hii. Ina vyumba 2 na sebule pamoja na jiko, master bedroom ni self, chini Kuna tiles na juu Kuna gypsum board pia imepigwa rangi za kisasa ndani na nje na dirisha zote ni aluminum. Msaada tafadhali.
  17. JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumpa mtoto smart phone?

    Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa alioupata kutoka kwenye Internet. Hii ni moja ya faida chanya za social media. Watoto wanapata habari...
  18. JamiiForums Tanzania Ni mnyama gani huyu jamani?

    Wanavodai eti ni kibwengo!!! Na anaeelewa sifa za kibwengo anifafanulie please!! Kwa mimi nimeona ni kama editing tu za wananzengo.
  19. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani hapa Tanzania biashara ya boda boda inalipa na hamna wizi wa Pikipiki?

    Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda. Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza kwa biasahra ya pikipiki ya Mkataba na ukapata pesa zako bila wasiwasi na usiwe na hofu ya kuibiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

    Huku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…