Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,369
CAD5A019-98EE-4055-AAD8-BF18A404DC00.jpeg

Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa

Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali

Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi yalikuwa yanamtoka kana kwamba yeye ndio kanasiwa na uyo mchawi ndani kwake hapo bado alikuwa hajafika eneo la tukio

Hapo njiani pia tukakutana na vijana kadhaa wakiwa na matairi ya gari kwa ajili ya kumtia kiberiti huyo mwanga alienasa,

Kufika eneo la tukio kweli namkuta mwanamama mmoja kapozi pale na vikorombwezo vyake kadhaa wa kadhaaa (nikaona kama igizo fulani hivi) inasemekana nyumba aliyonasa ina wataalamu zaidi.

Alikuwa naked huku wahuni wakijiandaa kufanya yakwao kabla watu hawajajaa.

Wengine waliokuja na visimu vyao wakaona fursa ya kuchukua video.

Kwa pembeni nikasikia bi dada mmoja aking'aka sana,namnukuu

"Choma huyo, wametunyoa sana nywele hawa ku***nina zao ,

Wametuharibia ndoa sana, wametupa ugumba mara mia na mwizi ila sio hawa wafirw***ji

Wametulimisha sana hawa
Tunapata vitambi kumbe wanatunyea vinyesi vyao Mdomoni choma kabisa huyo"

Lakini viongozi wa mtaa walikuwa tayari wameshamka na wataalamu kadhaa (waganga) ,viongozi wadini mchungaji na shehe nao walishatia mguu eneo la tukio

Mie taratibu nikajongea nyumbani nikiacha bado kuna mkwaruzano baina ya viongozi na wananchi wenye uchu na hasira kali.

Binafsi huwa siamini sana katika ushirikina , hii ni baada ya kusoma dini na sayansi vikanifunga kabisaa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… , kwanza naona ni kinyume cha maendeleo

Nikajiuliza kama hawa watu wanafanya uchafu wote kuua watu kuroga, kufitinisha , na kama alivyosema yule dada eti maswala ya kunyeana mdomoni surely, naweza nikashika mchawi na mwizi na mwizi nikamuacha ila huyu mchawi ni kifo tu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Una kasumba yoyote kuhusu matukio ya wachawi???

20C67043-18CA-4122-B582-9469D9C10238.jpeg

NB: Picha zote hapo juu sio za Eneo la tukio
 
View attachment 2059201

View attachment 2059202

NB: Picha zote hapo juu sio za Eneo la tukio
Ungekua unawachukia wachawi basi hata ccm usingewapigia kura wala kuwashobokea...usitufanye watoto!
 
Sasa umesoma sana sayansi na ikakufanya uone ushirikina ni uhuni lakini umeshindwa kutumia elimu yako kumnusuru huyo mama wawatu?
 
Kwamba Dini na Sayansi ndo vimefanya usiamini kuwa haya mambo yapo ? Surely?
Ni utashi tu wa mtu

Kuna maprofessa wamesoma sayansi na wako vitengo nyeti lakini bado huwaambii kitu kuhusu uchawi
 
Kwa hapo alipo ukimpiga wala hata hisi maumivu yeyote
Utaanza kuonyesha sura ya Huruma kwa kipigo utakachompa ukweli hisia za maumivu hana.
Ukibeba tofali sijui fimbo kubwa, gongo unajisumbua kumpiga.
Vitu vinavyoonekana vya kawaida hauwezi kutumia kumpiga mwezako. Baadhi ya vitu vivyo ukitumia kumpiga mchawi anapata hisia ya maumivu
 
Kwamba Dini na Sayansi ndo vimefanya usiamini kuwa haya mambo yapo ? Surely?
Naamani kama yapo mkuu ila siko interest nayo ... kama waafrica wengi wanavyoyabeba utakuta kakichwa kidogo tu eti nmerogwa
 
Kwa hapo alipo ukimpiga wala hata hisi maumivu yeyote
Utaanza kuonyesha sura ya Huruma kwa kipigo utakachompa ukweli hisia za maumivu hana.
Ukibeba tofali sijui fimbo kubwa, gongo unajisumbua kumpiga.
Vitu vinavyoonekana vya kawaida hauwezi kutumia kumpiga mwezako. Baadhi ya vitu vivyo ukitumia kumpiga mchawi anapata hisia ya maumivu
Aiseee , nadhani ndyo maana na wataalamu waliitwa mapema
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom