Maeneo gani Dar es salaam watu hawaruhusiwi kupiga picha au kurekodi video?

Midnight

JF-Expert Member
Apr 24, 2021
229
675
Rejea:
Kichwa cha habali swali hapo juu.

Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule.

Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine hawajakutana na kilichonikuta kivukoni hasa msimu huu kuelekea mwaka mpya.

Ahsante I🙏
 
Ahsante I
kituo chochote cha polisi
kituo chochote cha jeshi
ikulu
ferry
hospital
kwenye fly over
na kuna baadhi ya viwanda
kwnye standard gauge ujenz na hata rel
 
Magogoni pale unaruhusiwa kwenye nyumba fulani hivi nyeupe unaruhusiwa..... pale posta pale wanapaita IKULU. Ukipita pale piga picha kadiri uuweza

Magogoni pale unaruhusiwa kwenye nyumba fulani hivi nyeupe unaruhusiwa..... pale posta pale wanapaita IKULU. Ukipita pale piga picha kadiri uwezavyo.....
Unataka utuambukize kilicho kukuta nini? ulipokatiza ile road inayopita mjengoni!!?
 
kituo chochote cha polisi
kituo chochote cha jeshi
ikulu
ferry
hospital
kwenye fly over
na kuna baadhi ya viwanda
kwnye standard gauge ujenz na hata rel
Sasa kwanini wanazuia hata kwenye fly over? Si utakuwa ujinga huu? Mwenye sababu rasmi kuhusu maeneo hayo atusaidie tafadhali!
 
Back
Top Bottom