gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kero zipi uliwahi kupitia kwa kuishi na majirani wasumbufu/wakorofi?

    Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili). Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais awamu ya Sita alichaguliwa na nani?

    Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba? Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita? Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
  3. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania 2021 inaisha; Je, umefanya jambo gani kubwa la maana?

    Mimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu. Huu mwaka ni wa hovyo sana. Vipi kwa upande wenu wakuu?
  4. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiwa unapenda kufanya utotoni lakini ulikosa uhuru kwa wazazi?

    Hello! Nadhani kila mtu anakitu ambacho kinampa furaha akikifanya Mimi binafsi kungalia movie ndio hobby yangu kubwa Sana ,na enjoy Sana kuangalia. wakati nipo mdogo nilikuwa naangalia Sana muvi hadi nasahau muda kula yaani nilikuwa nikienda asubuh basi kurudi jioni ,nikirudi home nachezea...
  5. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Hizi nukuu za Steve Jobs zimebeba ujumbe gani?

    Huyu jamaa alikuwa na maana gani kwenye nukui zake hizi? "Stay hungry, stay foolish" "If today were the last day of my life, would I want to do what I'm about to do today?
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

    "Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma, gari bovu linaangushiwa awamu ya 6 sitakubali.
  7. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Movie gani imekubamba 2021

    Leo zimeachiwa episode 5 za mwisho za series ya Money Heist na kufikia mwisho wa series hiyo. Ikiwa pia tupo mwezi Disemba, mwezi wa mwisho kwa mwaka huu 2021, ni series na movie gani zilikuvutia sana mwaka huu? Karibuni kwa mjadala
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa maumivu gani tena waungwana!?

    Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA...
  9. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Unajua sababu gani Zanzibar ufaulu Sekondari uko chini sana?

    Tulimsikia Rais Samia akitoa mfano wa Zanzibar wa kuruhusu wasichana wanaopata mimba kurudi kuendelea na elimu ya sekondari kwenye shule za umma. Lakini ambacho hakutaka kusema ni ufaulu hafifu wa muda mrefu wa Zanzibar kwenye mitihani ya kufuzu elimu ya sekondari. Ilifikia hatua hadi kudai...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani alifanya JK na kikabaki kuwa cha Watanzania?, Je ile Gesi ni yetu?

    Habari Wana JF, Kuna hoja nyingi sana zinasukuma kujengwa bandari kubwa ya Bagamoyo. Mradi huu ukipata nguvu sana wkt wa JK. Haukukamilika wkt wake. Sasa umerejea kwa kasi kiasi cha kudhorotesha hata miradi mingine. Binafsi ukiniuliza, nitakwambia JK ndio kila kitu kwenye huu Mradi. Hadi...
  11. Smarter

    JamiiForums Tanzania UNA MPANGO GANI DECEMBER HII?

    Ndio hivyo tena, December imeshaingia. Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu. Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki. Ila nasikia WAVE nyingine inakuja/Imefika. Sasa December itakuwaje? Poa. Fresh Basi.
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

    Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa. Mambo ya huku bara lazima...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuzikwa na viungo ambavyo Kuna watu wanavihitaji? Iletwe sheria ya kuwapa incentives (motisha) watu wataovigawa wakifa.

    Sioni faida yoyote ya mtu kuzikwa na vium=ngo ambavyo kuna watu wanavitafuta kwa udi na uvumba ili kutibu matatizo yao. Sote tunajiuonea, uhaba wa viungo umefanya kuwepo kwa soko haramu kwa mfano makundi ya kigaidi kama Boko Haram hukamat watu na kuwanyofa viungo na kuviuza kwa bei ili...
  14. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

    Napenda mipira yote ya bongo na ulaya, king'amuzi gani kinafaa hapo kwa huu uchumi wa kati? Naombeni ushauri
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam Kupitia Mkwawa Kitu Gani Mmeandika Hapa?.

    Ninavyojua Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam na matawi yote ya chuo hicho kikiwepo chuo kikuu cha Mkwawa pale Iringa ni Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Kunapokuwa na dhifa ya chuo inayofanya kuwepo kwa mkuu huyo kuwepo hatuwezi kusema mgeni rasmi ni Mkuu wa Chuo bali huyo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wachina na bara la Afrika, urafiki gani huo?

    The second colonization of Africa: CHINA'S EVIL PLAN FOR AFRICA By the year 2050, according to the metrics of continental geopolitical ethnography, Africa will become a Chinese continent. African leaders, instead of setting up a "sinking fund" are just happy to revel in their own batty. Fact...
  17. Sylvester daudi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D

    Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D. Kama kuna mtu anauza anitajie bei gani. 0716723263
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tutoane ushamba: Kuna haja gani ya kumpeleka mtu form 5 kama uwezo wa kumsomesha chuoni upo?

    Wengi wanapeleka watoto advance kwa kukariri kwamba ndivyo ilivyozoeleka kwamba mtu akiwa na credit 3 basi anaenda form 5, wamekariri kwamba watu wanaoenda chuoni baada ya form 4 ni wale wenye division 4 tu kumbe kuna wenye division 1 zao, wamejiongeza na wapo huko vyuoni wakiwa wameanza kusomea...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wafupi wengi wao huzaa kwa "upasuaji": Kuna ukweli gani ktk hili?

    Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito. Kuna ukweli gani ktk hili? My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
  20. K

    JamiiForums Tanzania OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
Back
Top Bottom