Je, ni rangi gani nzuri ya kupaka kati ya hizi?

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Wadau kwemaa!

Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka naomba kuuliza je NI rangi gani nzuri ambayo haipauki unapo paka ktk kuta za nyumba yako

Coral
Plastcon
Billion

Binafsi hi billion sioni Kama no nzuri milipakaa ktk Fisher body aiseee hata miezi Saba haina Lin ishaanza kubabuka. Wadau naomba feedback toka kwenu mlio experience ktk rangi nzuri.
 
Kwa sasahivi plascon wana rangi bora sana,ndio maana wana bei kubwa kuliko hizo nyingine,coral na goldstar wanafuatia
 
Plascon, nenda kanunue kule kiwandani kwao pale karibu na mataa ya Vinginguti...

Andaa tu pesa...
 
upo mkoa gani mbona rangi zipo kote,labda uwe interior sana
Naona viwandani Bei inakuwa km imepoa flani hvi, ama ni sababu gani unafanya watu waende viwandani mkuu? Kupoa kwa Bei ama kufata tu bidhaa bila kujali Bei?
 
Viwandani bei inakua chini kidogo,alafu watu wanapenda bidhaa ambayo haijakaa sana stock kama madukani,unaweza kuta ndoo zina zaidi ya miaka miwili hazijauzika inategemea na rangi yenyewe lakini
 
Naona viwandani Bei inakuwa km imepoa flani hvi, ama ni sababu gani unafanya watu waende viwandani mkuu? Kupoa kwa Bei ama kufata tu bidhaa bila kujali Bei?
Kwa rangi ya Plascon kiwandani ni bei kubwa zaidi ya kariakoo
 
Nipo fundi pia wa rangi hapa tunaweza kufanya kazi pamoja
20211129_183941.jpg

0718884670
 
Kampuni.za rangi.bora ziko.tatu Tanzania ya kwanza inatokea falme za kiarabu UAE inatawi.lake hapa Tanzania Kama distributer dar kariakoo inaitwa jotun paint ya pili huyu.ni mhindi anaitwa plascon paint former ilikuwa inajulikana Kama sadolin ya tatu.ni goldstar.paint hyo.ndo tatu.bora hao.wengine sijui coral billion bado Sana karibun kwa huduma na ushaur.fund rangi na decorations za nyumba call or wasup.0757735884
 
Ahaa ok
 
Back
Top Bottom