gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mchakato wa ajira za ualimu utachukua muda gani mpaka ajira kutangazwa?

    Wakuu kwema. Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi. Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza. Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo...
  2. Matokeo yakiwa hivi inachukua muda gani hadi kuachiwa?

    Mwenye kufahamu anisaidie
  3. Chama chetu kinaonekana hakipo makini, CHADEMA tuna matatizo gani kukosa mikakati mizuri ya kisiasa kama ACT-Wazalendo?

    ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana. MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta...
  4. S

    Tukio hili linaonyesha ni jinsi gani wenzetu wako civilised na kwamba watawala Ulaya sio miungu watu kama huku kwetu na hii Tulia Ackson inamhusu

    Tulia Ackson unaamini Raisi wa nchi yetu hastahili kunyooshwa kidole, ona hii clip ya kilichotokea huko Uingereza kwenye Jumba la Waziri Mkuu uone jinsi dola ilivyojitenga na siasa na wanasiasa hata pale Waziri Mkuu anapopigwa kwa kukejeliwa na wananchi wa kawaida (sio Bunge wala wabunge)...
  5. K

    Anti wrinkles bora kwa mwanaume ni ipi na ya nchi gani?

    Jamani, nataka kujaua ni anti wrinkles products ipi nzuri kwa mwanaume
  6. St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Hivi pale St. Francis Girls Mbeya pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekuwa ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana. Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo...
  7. Unatumia njia gani kuwasaidia ndugu na jamaa zako pale kipato chako kinapokuwa chini ya mahitaji yako ya muhimu?

    Heshima kwenu Wakuu. Nimebahatika kuishi Nchi za wenzetu kwa Mabeberu, kiasi fulani nimejifunza mambo kadhaa. Sisi Wabongo tunaishi maisha ya ujamaa, yaani kugawana kidogo tunachokuwa nacho ili kila mtu apate japo mkate. Hali hii inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya sisi wabongo bado...
  8. Ni mchezaji gani mpya atakae tambulishwa kesho yanga sc?

    Mimi ni mnyama damu ila ukweli usemwe mashabiki wa simba wengi tumepatwa na wenge usingizi hatupati jamani ata chama tumemsahau roho zipo juu. watani tuibieni jina basi tupate japo amani asije akawa yule kijana wa wydad
  9. Ni kwasababu gani mechi ya coastal union na yanga imesitishwa 16/1/2022,??

    Hii mechi ilipangwa Jumapili Mkwakwani Stadium Tanga lakini imeahirishwa. Je nini hakijaenda kama ilivyopangwa? GENTAMYCINE ufafanuzi tafadhali.
  10. Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Habari wadau, Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
  11. Nimemkuta masai amesimamia ng'ombe wale ndani ya shamba langu la mazao kusudi, ni sumu gani inauwa ng'ombe taratibu niwafunze adabu?

    Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau. Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
  12. Wataalam wa ujenzi, mna maoni gani kwa huu ujenzi?

    Wataalam wa ujenzi, mna maoni gani kwa huu ujenzi? Najaribu kupiga mahesabu yangu ya uwiano hapa, naona yanagoma kubalansi...
  13. CHADEMA mmepoteza matumaini ya kisiasa mnahaha kama mbweha msituni, hamjui mtaji gani wa kisiasa utawatoa. Mmebaki kuomba dua la kuku.

    Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi. Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika. Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata...
  14. D

    Naomba kufahamu ni namna gani naweza kujiunga na JWTZ baaada ya kumaliza kidato cha sita

    Mwaka huu namaliza kidato cha 6 na ningependa kujiunga na jwtz baada ya hapo na inakuaje Kama sitapangwa JKT.
  15. M

    Dhana ya kutenganisha mamlaka (mihimili) ie Separation of powers, je inafanya kazi kwa kiasi gani hapa kwetu?

    Duniani kote kuna hii dhana ya mihimili ya mahakama, bunge na serikali kutokuingiliana (separation of powers) na kugawana madaraka bila kuathili mawasiliano kwa maana ya coordination baina yao kwa uendeshaji mzuri wa nchi. Ni kwa kiasi gani dhana hii inafanya kazi hapa kwetu? Je, kiuhalisia/in...
  16. S

    Hivi wafanyakazi wa TRA mna matatizo gani? Mnaomba omba hela za rushwa kila huduma kwa mteja!

    Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo! Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana...
  17. Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

    Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu. Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi...
  18. Ulifanya kosa gani mpaka ukapewa suspension shuleni?

    Siku hiyo kulikua na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliekua akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo linauma lakini nikalazimishwa kupeleka nikajawa na hasira wakati naondoka nikawaza nifanyeje ili...
  19. Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

    Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta. Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha. Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…