Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Habarini wadau.

Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandamwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu.


Tuyaache hayo leo, nimepata wazo la kuja na mchuano wa simu gani inatoa picha kali, weka picha ambayo utapiga baada ya kusoma uzi "usilete za nyuma" haijalishi mazingira ulipo wala wakati iwe usiku au mchana.

Hii itatusaidia kufanya uchaguzi mzuri wa simu kwa wataotaka kubadili simu.
Weka picha na utuambie umepiga picha na simu ya aina gani, Sometimes specs tunazozisoma kwenye vifaa au GSMARENA ni kama wanatupanga vile.

Hapa ni aina yoyote ya simu ukipost tuambie ni simu gani.

Uwanja ni wenu.
 
Samsung note8
20220216_130616.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom