Wewe ukifanya Kazi ya Polisi na TAKUKURU na Wao wafanye Kazi gani? Hebu tutafuteni Umaarufu kwa kufanya Mambo yenye Tija Kimantiki Kitaifa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,565
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo.

Chanzo: habarileo_tz

Kwangu Mimi hii ni Kazi ya ama Mkuu wa Wilaya au wa Mkoa na hata wala si ya Waziri au Waziri Mkuu au Makamu wa Rais au Rais au hata Mkuu wa Majeshi.

Tukiwasema hatuwachukii tunawapenda.
 
Anapenda sana ushabiki bila kufuata mstari. Covid 19 pakacha linanuka, yeye analazimisha kulibeba kisa kuinua wanawake wenzie,,! Pale inapofikia kuvunja katiba kwa kuvutia maslahi kona. Nchi iyayumba na anahaibika mtu kama sio taasisi nzima, muda si mrefu
 
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo.

Chanzo: habarileo_tz

Kwangu Mimi hii ni Kazi ya ama Mkuu wa Wilaya au wa Mkoa na hata wala si ya Waziri au Waziri Mkuu au Makamu wa Rais au Rais au hata Mkuu wa Majeshi.

Tukiwasema hatuwachukii tunawapenda.
Anafuata nyayo za mtangulizi wake!
 
Kwa hiyo na wewe unapoleta zile mada zako za kufikirika/za uongo/ za kipopoma za wachezaji na makocha wa timu pinzani kuhongwa na GSM/Yanga ili wafungwe, huku ukiwa siyo Takukuru au Polisi! Tukuweke kwenye kundi gani?
 
Ukweli ni kwamba bado hatuna taasisi imara. Inawezekana polisi na takukuru ngazi ya wilaya na mkoa walishindwa kufanya kazi yao kwa sababu huyo mfanyabiashara ni mdhamini mkubwa wa chama dola! Hapo anayeweza kumtia kibano ni rais.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom