Bila kututajia mwaka, tuambie ulimaliza form four mwaka gani?

Wakati tukijiandaa kufanya mtihani wa kidato nne, ukiwa umebakia mwezi mmoja tu kuingia kwenye chumba cha mtihani, Nduli Generali Iddi Amin Dadah aliivamia Tanzania kupitia Mutukula na kuteka eneo lote la kaskazini ya mto wa Kagera.... Na kufuatia na vita vya Kagera.
 
Back
Top Bottom