gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usimchukie baba yako hujui sababu gani ilipelekea akaachana na mama yako

    USIMCHUKIE BABA YAKO HUJUI SABABU GANI ILIPELEKEA AKAACHANA NA MAMA YAKO. Chukua hizi busara zitunze kwenye moyo wako na uzitumie, zitaweza kukusaidia katika safari yako ya maisha. Ni kawaida sana kuona watoto wengi waliolelewa na mama au ndugu wa upande wa mama kukosa mapenzi kwa baba zao...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ya Mwigulu Nchemba kupambana na Simba na chui na kuwashinda ilikuwa na umuhimu gani kuyasema? Hakuna anayetaka kumdhuru. Ni yeye tu!

    Mwigulu Madelu Lameck Nchemba kama waziri mkuu ingawa hawakushinda ubunge wala urais, anatakiwa awe makini na anachosema vinginevyo haya mambo yatamharibia na siku moja atajikuta katika hatari kubwa ambao hataweza kutoka hapo. Mwigulu alitoa idadi kubwa ya gas station zilizoharibiwa kama 600...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna shida Gani ukisaidiwa kutolewa nguo zako kwenye kamba

    Mko poa wakuu, Kuna hii tabia ya mtu akifua nguo zake Kisha akianika kwenye kamba harafu akiwa ametoka hayupo huku nyuma hutakiwi kuzitoa kwenye kamba mpaka mwenyewe arudi ata zinyeshewe na mvua zikiwa zimeshakauka hapendi yani!? Akija mwenyewe atazianua, basi ujaribu kuzitoa labda Kuna mvua...
  4. JamiiForums Tanzania Kitu gani kikitokea mwaka 2026 kitakufurahisha sana?

    Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL). Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika Wewe kitu gani kikitokea mwaka huu kitakufanya upate raha mithili ya mtu aliyeufikia mshindo mkuu? Mzee wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hatua Gani Zinachukuliwa Igundulikapo Tatizo la Afya ya Akili kwa Kiongozi?

    Hebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo? Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
  6. JamiiForums Tanzania Wazayoni(Zionist) ni akina nani na Wana malengo gani?

    Nimejaribu kufatilia matukio ya Dunia, vita,migogoro ya kiuchumi, na mizozo ya mipaka baina ya mataifa, lakini Zionist ni miongoni mwa neno ambalo nimelisikia sana likihusishwa na migogoro yote inayoendelea Duniani hivi Sasa. Nimedig kidogo kwenye baadhi ya vyanzo, nikafaham kwamba chanzo Cha...
  7. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

    Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa namna gani naweza kuwa monetized na youtube

    Nahitaji msaada wa kimawazo ili nijue namna ya kuingiza hela kupitia kupost na kucreate content youtube ,msaada wa kimawazo guys
  9. JamiiForums Tanzania TV gani hapo nichukue 50 inch 4K solarmax au 43 inch FHD Hisense

    Bei ziko sawa na zote ni smart
  10. JamiiForums Tanzania Nitawasimulia wajukuu wangu tena kwa madaha ni namna gani nilibahatika kushuhudia vidume hawa wawili wakiikomboa dunia huru dhidi ya radicals

    LONG LIVE THE CRUSADE, LONG LIVE THE ZION Hawa ndio wanaohakikisha dunia huru isiwe chini ya radicals na extremists.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mzazi/ndugu yako aliwahi kufanyiwa kisa umasikini hujalisahau hadi ukubwani ?

  12. JamiiForums Tanzania Ni tabia gani inakukera ukikutana nayo unapotumia usafiri wa basi?

    Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu. Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni program ipi ya Ai unaitumia kwa sasa na unaitumia kufanyia kazi gani ?

    Hivi ni program ipi ya Ai unaitumia kwa sasa na unaitumia kufanyia kazi gani ?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani huwa yanatumika kuficha kamera za Siri?

    Vifaa vya umeme kama simu, vifaa vya alarm na smoke detectors, pamoja na Chaji ya simu (USB) kwa sababu camera hizo sa siri huwa zinahitaji kuwa na chaji mara kwa mara. Vioo hasa vinavyoruhusu mtu kuona upande wa pili ( Two way Mirror), mapambo kama vile fremu za picha, kitasa, saa za ukutani...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Wastara ametumia vigezo gani kumkubalia Dudubaya?

    Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ? Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu. Sielewi huyu dada ametumia...
  16. JamiiForums Tanzania Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa: Ikitokea Umeitwa Mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani?

    Wanabodi, Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
  17. JamiiForums Tanzania Ulikua na umri gani ulipogundua hiyo mikunjo nyuma ya mswaki ni kwa ajili ya kusafishia ulimi?

    Ulikua na umri gani ulipogundua hiyo mikunjo nyuma ya mswaki ni kwa ajili ya kusafishia ulimi?
  18. JamiiForums Tanzania Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Njia gani rahisi ya kumfanya mwanamke akupende ?

    Njia gani rahisi ya kumfanya mwanamke akupende ?
  20. JamiiForums Tanzania Nakuuliza swali mama Samia kulikuwa na ulazima gani wa kutaka kulazimisha kuwatawala watu wasiokutaka na kukupenda?

    Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna mwanamke mmoja hapa mjini posta huwa nampenda sana, kwa kifupi siyo level yangu kwa kweli ni mzuri sana na ni wa kishua kwa kifupi ana maisha Lakin ndugu zangu Kuna siku niliamua nimtongoze huyu dada akawa amenikataa, nikarudia tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…