Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti
imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na kisaikolojia.
Mkoa wa Arusha umekuwa ukigonga vichwa vya habari kwa matukio ya ukatili uliopindukia...
Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of.
Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level!
Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na...
Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika.
Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia za magari ya JamiiForums (JF) ni ya muda mrefu, na wateja wengi wanahisi wauzaji hao wanakadiria...
Habari za jumapili!
1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni.
2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai.
Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai.
3. Wamasai ni moja ya Makabila...
Kama umefuatilia, generations mpya za Toyota kuanzia 2023 kuja mbele zimekua kama zinashare design language moja kwa mbele. Mfano:
Toyota Crown 2025
Lexus ES 350h 2025
Camry 2025
Prius 2025
Ata ukicheki baadhi ya crossovers/SUV kama nazo kwa mbele zinafanana design. Angalia mifano...
Moja kwa moja..
Siku za nyuma nilienda Veta kuchukua cheti changu , niliistaajabu baada ya kupewa yule Dada aliyenipa aliniambia nisiweke lamination bila kuniambia sababu.
Naomba kujua wajuzi je , ipi inawezekana kuwa sababu ya kuniambia hivyo na je , Kuna madhara yeyote niliweka ? maana...
Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani?
1. SHULE YA BUNGE
2. SHULE YA MAHAKAMA
3. SHULE YA MTAANI
4. SHULE YA JAMII
5. SHULE YA MUZIKI
6. SHULE YA RANGI
Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani?
1. SHULE YA BUNGE
2. SHULE YA MAHAKAMA
3. SHULE YA MTAANI
4. SHULE YA JAMII
5. SHULE YA MUZIKI
6. SHULE YA RANGI
Wakuu salaam!
Naota nakutana sana na huyu rafiki yangu aliyefariki mwaka 2018 ,si mara moja Wala mara mbili ni mara ya nne sasa na yote ni huu mwaka tu.
Naota shule imefungua tumekutana tena namuuliza 'mbona ulikua hunitafuti likizo ? na yeye aniuliza mbona na wewe ulikua hunitafuti?' basi...
Una mda gani kikojolea chako hakijakutana na kikojoleo chenzie
Siku moja?
Wiki moja?
mwezi mmoja?
Mwaka mmoja ?
Siku ukipewa unapewa yote au unapewa nusu nusu [unapunjwa🤪]
au hakijawahi kutumika kabisa?
Kazi yake ni kupitisha haja ndogo tu?
Hata mambo yaende kombo vipi tusiache kulombana🍑🍆😋
Kofia kama accessory, wanaume kwa wanawake wanavaa. Nyingi ni unisex.
Me napenda sana cap, kichwa kama boga lakini still napenda sana. Challenge kubwa ni joto, jasho linajaa sana nikiwa misele Dar.
Kuna hizi za kibabe kama Peaky Blinders ila ukivaa unaonekana dalali, wanavaaga watoto wa...
Watanzania wengi wanadhani kiswahili cha neno Dam ni bwawa. Wakisikia Mtera Dam basi wanajua kuwa kiswahili chake ni bwawa la Mtera.
Ukweli ni kuwa dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Baadhi ya tafsiri za kiswahili zinaita ukuta huo Lambo.
Huo ukuta hapo juu ndiyo unaitwa dam. Sehemu...
Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani?
Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa?
haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote...
Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.
Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa...
Watu wengi kwenye betting wanaogopa odds kubwa lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya special options zina odds ndogo kabisa kama 1.2–1.4 ila ndio zina mitego ya ajabu sana
Zinaonekana rahisi mbele ya macho lakini football ni mchezo wa matukio yasiyotabirika. Unaweza ukaona option “hii lazima...
Moja ya kitu wanapenda kufanya wanawake wengi ni kuvaa nguo za wenza zao, moja ya nguo huvaliwa zaidi ni Tisheti, japo wapo wanaokwenda mbali zaidi na kuvaa boksa, vesti, soksi, suruali nk ili mradi tu ajisikie raha kuwa amevaa ngo ya mtu anayempenda.
Japo wapo baadhi ya Wanaume hawapendi nguo...
Wakuu kutekwa sasa basi kila mtu ajilinde anavyojua tutakwishaaaaa.....
Hivi ni vitu nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa
1. Kutosalimia salimia watu
2. Kutongoza mwanamke akizingua mara moja tu sihangaiki naye tena.
3. Kutamani na kuwala wake za watu
4. Kupenda sn muziki nipo tayari...
Habarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri .
Natanguliza shukran.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.