Mtu wangu wa karibu (ke) ana changamoto ya kutokwa na vitundu vidogo vidogo (pores) kama inavoonekana hapo kwenye picha...hiyo ni sehemu ya uso shavuni
Akivikamua/akiviminya izo pores zinatoa kitu kama mafuta mgando mweupe
Anaomba ushauri kwa wataalam wa ngozi na wengine waliowahi kuwa na ngozi kama hiyo atumie lotion gani au mafuta gani au sabuni gani au dawa gani ili ngozi yake iwe smooth/nyororo na ivo vitundu viondoke?