Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
Njozi niliyopata ilikuwa hivi..
Nilikuwepo kwenye mkutano wa ccm, (Kambarage stadium) nipo juu kwa nyuma kwenye seat za ngazi ya juu,
gafla Askofu Josephat Gwajima akiwa kwenye uniform za kijani katikati ya mkutano akaanza kuongea na kumpinga Mheshimiwa Samia Suluhu, ikatolewa amri...
Zile shule kongwe kidogo zilikuwa na magari aina ya malori ambayo yalisaidia katika shughuli za shule kama kusomba vyakula, kuni na kusafirisha wanafunzi kwenye matukio. Magari haya yalijizolea umaarufu lakini pia kila shule ilibatiza jina la utani lori.
1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali.
Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu.
Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate.
Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari.
Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded..
Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za...
Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online.
Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu waliotapeliwa wanasema tumetapeliwa mtandaoni bila kutaja majina ya mtando upi wala majina ya...
Wakuu nimerudi na uzushi tena🤣🤣🤣
Saivi ni Kwa wale wasomi wenye 25+yrs 🤣
SWALI NI; Je unajutia kusoma profession uliyosomea?
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua tena ungesoma kozi ipi 🧐??
🙏🙏
Natanguliza shukrani Jumapili njema kwenu wadau
Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa?
Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta.
Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua.
Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu
Jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani
Baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake, alikua...
Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.
Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa.
Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta.
Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au...
Hi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.