The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,443
- 2,954
Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi 😂.
kuna rafiki yangu tukiwa shule,View attachment 3593158
Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi 😂.
Hujui Kuber mzee...nu kama ugoro ila wa kihindi zamani sana hio ushakatazwa ila nahisi wahindi bado wanaoKuberi ni nini sasa, unadhani kila mtu anaijua?
Wakati zinatoka na zinatamba ulikuwa huchagui pa kunya dogo.Kuberi ni nini sasa, unadhani kila mtu anaijua?
Na ukitumia unawaka kabisa?Hujui Kuber mzee...nu kama ugoro ila wa kihindi zamani sana hio ushakatazwa ila nahisi wahindi bado wanao
😂😂kuna rafiki yangu tukiwa shule,
alikua akibwia kuberi tu ni lazima abanwe na nnya akashushe tofali chooni, that was must ,
binafsi kuberi ilinishinda, yaani kitu unaweka mdomoni tu na humezi wala nini ila unalewa, dah!🐒
Tofauti pakubwa tu...Hv h ndo kwa jina lingn n ugoro, Au n tofaut?
😂😂😂 DahKuna mshenzi simsahau, alikuwa anaonesha banda la sinema, watoto tuliokuwa hatuna hela ilikuwa anakuwekea kubeli mdomoni ndo unaingia kuangalia movie. Watoto tulikunya hiyo siku 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mshenzi simsahau, alikuwa anaonesha banda la sinema, watoto tuliokuwa hatuna hela ilikuwa anakuwekea kubeli mdomoni ndo unaingia kuangalia movie. Watoto tulikunya hiyo siku [emoji23][emoji23]
😂😂😂 Dah pep mafegi ulitaka kutuulia dom leader 😂2007 nipo form 4 seminary moja pale songea,time za break nilikua nakula bangi then muda wa prepo nakula kubeli,basi vile nilikua nasizi washkaji wakawa wanapenda sana...
Siku moja dom leader akaomba kubeli tena kwa kitisho kwamba nisingempa angenichomea..basi nikampa matemeo(kubeli ambayo nilitumia mwanzo nikala nikaitoa nikarudisha kwenye pakti) alikula kubeli akameza mate na kubeli yenyewe,alilala toka saa 4 usiku mpaka kesho saa 12 jioni...
Ilipogundulika nikapigwa saspensen ya miezi 3...
Njoo nikulambishe kuberi, ugoro wa kihindi huo. 😊Ndio kitu gani hicho 🤔