gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi IGP wambura na Generali Mkunda wana elimu gani?

    Naomba wenye cv za hao watu wawili waziweke hapa tuzichambue.
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unahisi ni misemo gani ya wahenga ambayo haina nguvu kwa kizazi hiki kipya?

    Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano -Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu -Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga...
  3. bolivia

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyokuwa Trh 29 na 30 Oktoba uliwezaje kuishi (survive). Je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri?

    hali ilivyo trh 29 na 30 October kwako uliwezaje kusavaivu(survive) je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri? Mimi nilipangiwa kusimamia kituo cha kupigia kura pale mnazi 1, lumumba tulifika siku 1 kabla kama wasimamizi tukalala hapo ,tukalipwa posho elfu 90 lkn moyoni nilitaman sana kutoka...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Rais anasema kanisa lifunguliwe alilifunga kwa sababu gani? Aeleze sababu

    Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Jenerali Augustino Pole Pole ni mwanajeshi wa nchi gani?

    Watanganyika wenzangu, naomba kufahamishwa kuhusu uanajeshi wa huyu mwamba aliyetoa masaa 24. Huyu mjeda ni mwanajeshi wa nchi gani na yupo wapi kwa sasa? By the way nayasubiria kwa hamu masaa 24 yapite ili kazi ianze
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha hii inakupa mtizamo gani? Je, Serikali kwa mara nyingine inajaribu kuficha ukweli?

  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha hii inakupa taswira gani ?

  9. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu ahoji maandamano ya Oktoba. Maandamano gani watu walikuwa well armed?

    Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili. Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu. Anahoji ni utaratibu gani huu? === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
  10. Bila bila

    JamiiForums Tanzania GODFREY MONYO (ITV): Serikali ina mpango gani kuwafidia walioharibiwa au kuibiwa Mali zào Oct 29?

    Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao. Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini...
  11. mfungwa

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kumbuka Ukweli ni kitu gani

    Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo? Ukumbuke familia zao zipo.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Sheikh gani unasimamia uovu, Wakristo ni ndugu zetu kujeni kivingine hili lishadunda

    Baaaas dada kamaliza mjadala kabisa Hawa watu wamezoea kuona watanzania kuwa wa kimya hawajui karne hubadika kisha watu na mitazamo yao pia hubadilika, Walidhani wakileta masuala ya dini basi wakristo na waislamu tungeanza battle la kiimani, imegeuka kuwa battle kati ya misimamo na umoja wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani lilikutokea ukaamini kweli Mungu yupo?

    Habari Wakuu, kuna mambo mengi yanatokea maishani katika namna ambayo ukijiuliza unafikia conclusion ya kuwa hili jambo kama si kwa uwezo wa Mungu lisingetokea. Una story yoyote ya hivyo? Karibu uchangie maoni kwenye huu mjadala.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

    Pitia video hii https://www.instagram.com/reel/DRWg3AgAN-6/?igsh=dTkzMzhlcDE4cHV2
  16. F

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC ina kazi gani

    Hiv TBC ni chombo cha Taifa au chombo cha siasa za mrengo 1 wa CCM au ni dodoki la kuosha na kusambaza propaganda za serikali, nao wachukue basi usajili kwenye Baraza la vyama vya siasa maana hawaripoti habari za wananchi zaidi ni mapambio kuanzia asubuhi mpaka asubuhi. Mnajidanganya sana...
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kama ni marehemu unafikiri sasa tupo hatua gani kumaliza msiba?

    Nafurahia marehemu anavohangaika kuingia kaburini watu wamfukie. imebaki tu kufukia maana kama kufa kashakufa na kuaga tushaaga na sasa ndo tupo makaburini muda huu Hatuondoki makaburini mpaka na mimi nihakikishe nimetupia chepe langu moja
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mashekhe waliotoa kauli za kutaka kuchinja waandamanaji wamechukuliwa hatua gani ?

    Mashekhe ubwabwa waliotoa kauli za kutaka kuchinja waandamanaji wamechukuliwa hatua gani ? Hakuna uwajibikaji tukutane tarehe #D9 tutawawajibisha wenyewe
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni kumbukumbu gani Mwaka 2025 unakuachia ambazo unadhani hautaweza kusahau?

    Takriban wiki 6 zimesalia kuumaliza mwaka 2025, bila shaka kuna matukio mengi mazuri na mengine magumu umekutana nayo mwaka huu Kati ya matukio hayo ni yapi unadhani hautaweza kuyasahau kabisa?
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiondoa Droid VPN, ni VPN gani nyingine ambayo iliendelea kufanya kazi October 29 na kuendelea?

    Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet kutolewa Dar na Arusha kwa nia ya long range point to point radio links kama tulivyo ahidiwa, lakini nivema...
Back
Top Bottom