Aliejuu mfuate juuMethali gani unaona imepitwa na wakati na ipi ilikuwa mbele ya muda yaani inafaa hata sasa?
Mfano mie naona aliye Juu mngoje chini kama imepitwa na wakati maana asiposhuka itakula kwako,
Mtaka cha uvunguni sharti ainameMethali na vitendawili kama vinakaribiana:
Mtaka cha uvunguni, sharti apindue kitanda
Kweli nazeeka kumbe ipo hivyoMtaka cha uvunguni sharti ainame
Sio kuzeeka unazeeka vibayaKweli nazeeka kumbe ipo hivyo
Mgaa gaa na upwa hali wali mkavuu.. maana unaweza uka GAA GAA na upwa na wali mkavuu ukaulaaa..Mara usitukane mamba kabla haujavuka mto, sikuhizi mamba anatukanwa na mto tunavuka😃
Wahenga hawaamini😁
🤣🤣🤣Kuchapiwa ni siri ya ndani....
Hii inauma labda usijue🙄
Uwii nimecheka🤣Mgaa gaa na upwa hali wali mkavuu.. maana unaweza uka GAA GAA na upwa na wali mkavuu ukaulaaa..
Mambo ya kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa..Usiache mbachao kwa msala upitao....☺️😊