Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
34,120
Reaction score
98,907
Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf?
IMG_8685.jpeg

Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
 
Anapotezea aibu ya kuaibishwa na Iran
Jana tu kaogopa kuanza vita baada ya waarabu wote kumkatalia kutumia nchi zao……
Kwa sasa hakuna US base yoyote nchi za waraabu inayoweza kuendesha vita
zote zimeteketezwa….
 
Labda ma file ya UFO AMBAYO YAKO MBIONI KUACHIWA YANA STORI KUHUSU ALLIENS
Unaishi dunia gani mbona wameshaachia hakuna cha maana zaidi ya UFO tu tena hata havieleweki vi UFO vyenyewe! Usijisumbue hata kusubiri mambo ni yakawaida yasiyo na mashiko!. Humu duniani sisi ndio aliens wenyewe hakuna wengine.
 
Anapotezea aibu ya kuaibishwa na Iran
Jana tu kaogopa kuanza vita baada ya waarabu wote kumkatalia kutumia nchi zao……
Kwa sasa hakuna US base yoyote nchi za waraabu inayoweza kuendesha vita
zote zimeteketezwa….
zimeteketezwa wapi? Mlitaka hizo base zivurumishe silaha za maangamizi iran ndio mjue US imeshinda vita?
 
Back
Top Bottom