gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni nchi gani jirani imepandikiza kikamilifu majasusi wake mahiri maeneo / idara nyeti za Tanzania?

    1. Malawi 2. Zambia 3. Congo DR 4. Kenya 5. Burundi 6. Uganda 7. Rwanda atokayo member mmoja maarufu jamiiforums ambaye kwa bahati mbaya jina lake kwa sasa ameir seif wete paje kidagaa ( cognizant ) mimi nimelisahau? 8. South Sudan 9. Msumbiji
  2. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakumalizia pesa lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?

    Ni kitu gani kinakumalizia pesa mara kwa mara lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?
  3. JamiiForums Tanzania Taa hii chumbani huwa na kazi gani?

    Wajuzi wa mambo mtu akiweka taa ya rangi kama hii huwa anaitumia kwa kazi gani?
  4. JamiiForums Tanzania Hii herufi X ina nguvu gani za Siri?

    Ukiitizama kwa undani ina mambo mengi sana. 1.AXE 2.twitter X 3.1Xbet Yaani kifupi herufi X ina ujinga ujinga mwingi japo ndo tunaishi nao.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye viwanda vya karatasi, bei ya ream iko juu sana, tsh 15,000/=

    Wadau salaam. Serikali ijaribu kutupa jicho huko kwenye viwanda hivi. Karatasi zinatumika sana mashuleni na hasa mwanzo wa mwaka.Wanafunzi wanaagiziwa kupeleka karatasi shuleni kwa ajili ya kuchapisha mitihani yao. Miaka ya nyuma kidogo bei ya ream ilikuwa tsh 3500 hadi 5000,lkn ghafla...
  6. JamiiForums Tanzania Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

    Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nina kopi moja tu ya picha private, video private, pdf za mali, vyeti, leseni, n.k. njia gani nzuri ya kufanya backups mpya kila wiki bila bando?

    Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja kuzipata tena. Najua kuna online back ups lakini hizi kila mwezi inabidi ulipie na pia unahitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa waliooa tu, jambo gani au kazi za nyumbani,zinakupa shida pindi mkeo anapokuwa amesafiri na umebaki mwenyewe nyumbani mpaka zinafanya umkumbuke

    Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza. 1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu. Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
  9. JamiiForums Tanzania Ukuta wa nje wa nyumba unatakiwa kuwa na unene kiasi gani?

    Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene kiasi gani?
  10. JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu amekublock?

    Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored. Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini? Mimi binafsi nilipigwa Block na MangeKimambi baada ya kumkosoa alipokuwa ana-publish picha za Profesa Jay akiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mnatumia viungo gani kulainisha hii mboga wazee?

    Mimi huwa napendelea karanga.. sijui nyie😅😅
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

    Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally, Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons." Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda? Any...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kuwatoa wajenzi Malawi kuwaleta Tanzania wanahitaji vibali gani?

    Habari zenu jukwaa. kuna kiwanja nilishawahi kukipata na kukipigia fensi, nataka niaze ujenzi mwezi wa sita. Dhumuni kuu la kuwaleta mafundi wamalawi ni ile sifa yao wanayojulikana kuwa nayo HONESTY / UAMINIFU japo soo wote, lakini pia huko Malawi gharama zao za ufundi zipo chini. vitu gani...
  14. JamiiForums Tanzania Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa. Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale

    Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima. Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
  16. JamiiForums Tanzania Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?

    Kwenye ulimwengu wa sasa kuna kipindi unachukua namba ya mtu na unashindwa kumsave kwa jina lake, sometimes husababishwa na majina kufanana au kutomfahamu vizuri aliekupa namba. Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?
  17. JamiiForums Tanzania KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F mradi huu umefikia hatua Gani?

    Kuna siku niliona mikataba ya miradi hii ikisainiwa. Miradi hii imefikia hatua Gani? Ni mwaka Sasa umepita tangu nione miradi ikisainiwa.
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

    Tunaamini elimu tunayoipata huko vyuoni na mashuleni, inatupa uhuru wa kufanya maamuzi sahihi katika uzalishaji mali pamoja na kujitegemea. Tulitegemea ujuzi na elimu ulioipata huko duniani n.k iwe chachu ya wewe kujijenga na kuanzisha na kumiliki kampuni, taasisi, au kiwanda ili pia iweze...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani nzuri ya kuezeka ramani hii

    Nauliza
  20. JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu ni Crush wako?

    Ni mtu gani maarufu alikuvutia zaidi na ukatamani angekuwa Mpenzi wako? Mimi ni huyu Binti wa Kifilipino Kristine Hermosa. Mtaje Crush wako nawewe..!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…