Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Exile

JF-Expert Member
Feb 21, 2021
1,406
3,363
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.

Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
 
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa

Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana
Hizi dawa zilinisaidia kupona ila kabla ya kutumia ni vizuri ukakutana na wataalam wa afya.
Pantroprazole Tablets 40 mg.
IMG20230514083139.jpg
 
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa

Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana
Wengine wamepona kwa kula papai bivu kila siku kabla ya kula chakula cha asubuh, mchana na usiku. Pia epuka kula vyakula vunavyo pelekea tumbo kuuma.
 
Tumia mlenda ule wa unga kama mlo wako kwa mda wa miezi 6 , pamoja na mafuta ya mkia wa kondoo changanya na asali ya nyuki wadogo kijiko kimoja asubuh na jioni kwa mda wa miezi sita pia .

Ukiwa kwenye hii tiba jiepushe

Vyakula vyenye gesi

Pombe kali za spirit

Vinywaji vyenye gesi na energy

Stress

Kutokula kwa wakati

Note: kabla ya kuanza hii tiba hakikisha vidonda hivyo vimesababishwa na kitu gani kama ni bacteria wa h pylori, hakikisha umepata mchanganyiko wa dawa ( heligo kit) ili kuua vijidudu kwanza .
 
Niko na majani nayatumia saizi kutoka umasaini huko ndanindani naona walau yanafanya vizuri.. Ila hizi za hospitali nimehangaika sana bila mafanikio
Kupona vidonda vya tumbo sio rahisi kwa sababu vipo ndani ya tumbo na tumboni kuna chemical na pia asilimia kubwa ya vyakula vina kemikal , ili upone lazima utafute namna ya kuepuka Vyakula vyenye kemikal na kula vyakula vyenye uwezo wa kukabiliana na acid ili vidondo vipate mda wa kupona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom