Ukuta wa nje wa nyumba unatakiwa kuwa na unene kiasi gani?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,242
12,762
Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene kiasi gani?
Tofali.png
 
View attachment 2878626
Kwamba zitashindwa kubeba linta au Paa??
Au wasiwasi wako ni nini labda?

Sababu ule Msuko wa Tofali na Mota strength yake Kwa Paa la kawaida lenye mabati na mbao tu mbona linabebwa vizuri tu mkuu?
 
Kwamba zitashindwa kubeba linta au Paa??
Au wasiwasi wako ni nini labda?

Sababu ule Msuko wa Tofali na Mota strength yake Kwa Paa la kawaida lenye mabati na mbao tu mbona linabebwa vizuri tu mkuu?
Kuhimili misukosuko. Upepo mkali, matetemekon ya wastani, nguvu ya maji, insulation, uvamizi nk. Standard zinasema ukuta uwe na unene kiasi gani?
 
Shida ni ubora wa hizo tofali na ubora wa msingi. Utagundua kwamba nyumba nyingi zimebomoka kutokana na kupondwa na fensi. Fensi nyingi zinajengwa bila kuweka kina sahihi cha msingi. Mtu anakwangua kidogo ukuta unaanza hapo lazima ngoma ilale. Kaa mbali na fensi katika kipindi hiki.
 
uzi hata hautembei. Ngoja ukute uzi unahusu Juma Lokole na Aristote sijui....
 
Tofali 5" au 6"
Plaster nje 2''
Plaster ndani 2"
Unapata upana 9 au 10"
BTW uimara kuhimili mikikimikiki sio ukuta tu.
Plaster ya inchi 2 unene wake ni sawa na unene wa mbao ya 2x2...nchi 2 haifki mkuu, hiyo itakuwa sio plaster tena. Hiyo nchi 2 ya ndani na nje ukiunganisha unapata tofali la nchi 4 (100mm)
 
Hivi kuna tofali hadi 4 inch?
Plaster ya inchi 2 unene wake ni sawa na unene wa mbao ya 2x2...nchi 2 haifki mkuu, hiyo itakuwa sio plaster tena. Hiyo nchi 2 ya ndani na nje ukiunganisha unapata tofali la nchi 4 (100mm)
 
Back
Top Bottom