Mtandao Gani una Coverage nzuri Countrywide

Mtandao Gani una Coverage nzuri Countrywide

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,464
Reaction score
9,154
Wakuu natarajia kuwa na Safari almost TZ yote mikoani na wilayani! sasa based on experience je ni mtandao upo ipi miwili ambayo itani offer best coverage during my trip to Tanzania and probably pia naweza kufika na Nchi jirani za Africa mashariki wakuu
 
Vodacom kwa urahisi wa mawakala kila kona, vocha, kupiga na kutuma text na kupokelewa on real time.

Airtel kwa maeneo ya vijijini sanaa elewa neno "sana" unapata hadi mawakala wake na huitaji kutafuta network yake wala utapataje muda wa maongezi.
 
Asante sana bwashee ,una akili nyingi sana wakupe bia ulipie
Asante Sana Mkuu

Nilikuwa Arusha Makao Mapya Na Kule West Kilimanjaro
Mtandao Poa Lakini Weekend Nimekuja Kingolwira Morogoro
Mtaa Wa Shule Jirani Na Kanisa La Assemblies Of God (TAG)
Muda Wote Emergency

Mpaka Uwe Barabarani Unapata Network
 
Moro tumia airtel bwashee
 
Back
Top Bottom