Jinga wewe sasa kwa alichoimba harmonize ile siku aikuwa sahihi kwa unavyoelewa..?Walipomkataa tu Harmonize nikasema baaasi hakuna wasaka mziki hapa
Hata hao uliowataja sio mastar, inshort BSS Haijawahi kumtoa star yeyote yule.Back then nakumbuka Jumanne Idd, Chiku Ketto na Kala Jeremiah. Sijui nani mwingine ashawahi toka recently. Au ni drama tu kama drama nyingine?
Kabla harmonize hajaenda wasafi, ulikuwa unamjua Kwa lipi?Walipomkataa tu Harmonize nikasema baaasi hakuna wasaka mziki hapa
Kwamba mtoa mada amepewa za uso na salama? 😂Conflict of interest 😅
Wale watu wanajiona kama Mungu watu kwamba wamebeba hatma ya maisha ya watu 🗑️Hao wanaojiita majaji sidhani kama wanaujua huo mziki wenyewe... Hata elimu yao ya mziki ni ya hapa na pale.. Wanaendesha vitu kwa utashi wao binafsi na jinsi watavyompenda muimbaji
Sasa huyu ana ustar gn, mtu amebaki kusubiri misiba ya viongozi ili aweke majina yo kwenye nyimbo zake alizokwisha kuziandika apate chcht Kitu Kwenye show, anabakiwa na kipi kingine?Msechu alitokea huko pia.
Sasa huyu ana ustar gn, mtu amebaki kusubiri misiba ya viongozi ili aweke majina yo kwenye nyimbo zake alizokwisha kuziandika apate chcht Kitu Kwenye show, anabakiwa na kipi kingine?
Ila sio starHa ha ha, na yeye ndio ridhiki yake anapata.
amejuta kumfahamuu.. demu wa mshikaji kala za kichwaa 😁Kwamba mtoa mada amepewa za uso na salama? 😂