Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

Kuna Jamaa mmoja alitoaga uzi humu “ jinsi ya kufanya sex kiustad

Nimemsahau jina.. lake na hata jina la uzi ila ana jina la kingereza

Ule uzi niliusoma na nikaufanyia majaribio.. ni hatar mzee, kwa maandalizi yale unaweza ukaua mwanamke
 
Kila mtu ana umuhimu wake kwa nafasi yake,
hakuna mtu anaweza kua na umuhimu kuliko mwingine,
Binadamu hatufanani,na huu utofauti wetu ndio umeifikisha hii Dunia ya leo hapo tulipo,hata hii JF tungekua tunafana,kifikra,basi ingekua ina bore sana,

Binadamu tungekua tunafanana,basi hii Dunia ya leo isingekua na maendeleo yeyote ya maana,
Kila mwana JF ni special kwa upande wake,

Every individual has a side,a unique perspective,set of experiences,and potential to contribute to society.
 
Back
Top Bottom