Black mamba ilibaki kidogo anigonge shingoni ,Morogoro kwenye shamba la mpunga , nikaruka kama Bruce Lee kumkwepa😅Yule mjinga anayetembea kwa tumbo.
Ila yule mwengine unampenda...😁
Kahovyo sana hako kapuuzi
Hivi wale jamaa wanaofanyaga maonesho na hawa Snake huwa wanatumia trick gani?Black mamba ilibaki kidogo anigonge shingoni ,Morogoro kwenye shamba la mpunga , nikaruka kama Bruce Lee kumkwepaView attachment 3586006
Usione aibu sema kama unampenda...😅Komwee, umeanzaa!!![]()
Sijajua kama wana mtumia Black mambaHivi wale jamaa wanaofanyaga maonesho na hawa Snake huwa wanatumia trick gani?
Huwa sipendi kukutana nao, nitakaa wiki nzima na uogaBlack mamba ilibaki kidogo anigonge shingoni ,Morogoro kwenye shamba la mpunga , nikaruka kama Bruce Lee kumkwepaView attachment 3586006
wanatumia huwa najiuliza ni trick gani wanatumia sipati majibuSijajua kama wana mtumia Black mamba View attachment 3586007