gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

    Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
  2. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani nitumie za kuniwezesha kudumu na mwanamke?

    Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri Uvumilivu -0 Utulivu-0 Tamaa -100% Nipeni mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
  3. JamiiForums Tanzania Program ya BBT ina manufaa gani Kwa vijana wa kitanzania?

    Ni mwaka wa pili sasa nafuatilia hii program ya BBT iliyo anzishwa na mh Bashe chini ya wizara ya kilimo , nilichogundua hii program ni ya kisiasa na kidarali watu wanapiga pesa vibaya mno na vijana wanapotezewa mda na kutumikishwa kama watumwa wakipewa ujira na Kwa malimbikizo. Naona bora...
  4. JamiiForums Tanzania Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri. Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
  5. JamiiForums Tanzania Madhara yanayotupata kwa sababu ya kutumia simu muda mwingi

    Unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa. Unaweza kujikuta wengi wa vijana tunaishia kujichua wengine hata Mara nne Kwa siku Kwa sababu una access ya porno all the time hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kifaa gani hiki?

    Kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
  7. JamiiForums Tanzania Mashabiki Wenzangu wa MAN U,timu yetu Ina matatizo Gani??

    Hii tImu Nilianza Kuipenda mwaka 1998 nikiwa Shule ya vidudu,Bi mkubwa alinunua Jezi number 7 mgongoni Imeandikwa Cantona,Kaka zangu wakawa wananipa story za Cantona,Tangu hapo nikawa mpenzi wa Manchester united, Wakati Nasoma secondary school,usiku tulikua tunatoroka shule tunatembea karibu...
  8. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unajivunua ulilolifanya kwaajili ya Taifa?

    Bonjour, Bila kupoteza muda ukiachana na kulipa kodi ni jambo gani unajivunia kulifanyia Taifa lako. Mfano jeshi la wananchi mwanajeshi ana cha kujivunia binafsi najivunia kuchangia damu bila shuruti kwa hiali kabisa na kwakuwa damu yangu ni group O mim ni Universal global donor najua damu...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

    Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu? Huwa anaishije?
  10. JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani unanunua mwani?

    Wakuu vipi? Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje? Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
  11. JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Nina kijana wa miaka 17 wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah. Shuleni ni average sana...
  12. JamiiForums Tanzania Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?

    Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?
  13. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
  14. JamiiForums Tanzania Facebook ina mpango gani na accounts zetu tulizosahau password tangu 2010's?

    Kama kichwa kinavyojieleza. Anayejua jinsi ya kufanya hizo accounts zikafungwa kwa namna yoyote.
  15. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

    Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya . Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara. Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
  16. JamiiForums Tanzania Jambo gani lililowahi kukufanya ujisikie aibu/Ujivunie Utanzania wako?

    Niliyojivunia: 1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa wakiongea kwa kuangaliana makabila tu, yaani Mhutu kwa Mhutu au Mtutsi kwa Mtutsi hata kama wamekaa...
  17. JamiiForums Tanzania Ila hawa wazazi wanaowatelekeza watoto wao vyuoni wana maana gani?

    Mtoto ulimlea mwenyewe kwa kutshughulisha na akija chuo na akapewa fedha za kujikimu unaona kana kwamba shida zimeisha . Mfano ★Anaenda hana nguo za kumtosha ★Hana simu janja wala PC ★Anaenda hana fedha ya hakiba . Na bado haitoshi gharama za bima na malipo mengine ayafanye yeye kwa kigezo...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye. Mfumo wa hakiki stamp wa TRA

    Kwa siku tatu sasa ukitaka kuhakiki ubora Pombe kali konyagi.k vant nk mfumo unatoa mesage.MANTANANCE MODE AU SERVER UNAVAILABILITY TRY AGAON LATER . Vile vili kuna hisia watu kuanza kupata shida kunywa vinywaji vikali. Je kuna shida gani? Wahusika tunaomba mrejesho haraka.
  19. JamiiForums Tanzania Maziwa gani yanakukosha kati ya haya?

    Eti ni maziwa gani yanakupa ladha murua kati ya haya mawili?
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii dawa ina matumizi gani na inapatikana maduka ya madawa Tanzania kwa bei gani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…