gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unadhani Sekta ya Afya inahitaji maboresho gani nchini Tanzania na je, ukiteuliwa kuwa Waziri wa Afya utafanya nini cha tofauti?

    Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa: 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa. Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
  2. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
  3. NYENJENKURU

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya RITA, Missenyi wana matatizo gani?

    Ndugu wanaJamvi kuna jambo limenishangaza kidogo kutoka ofisi ya RITA MISSENYI mkoani Kagera.Kuna mtoto wa shemeji yangu aliomba cheti cha kuzaliwa kwa njia ya mfumo wa RITA ajaza kila kinachotakiwa kuwekwa kwenye mfumo.Baada ya wiki moja kwenye mfumo status ikaonyesha Cerificate Issued,Collect...
  4. Singasinga

    JamiiForums Tanzania Ni pedi gani nzuri zaidi kwa bei rafiki

    Nataka kumnunulia mpenzi wangu pedi ila sijajua ipi ni bora zaidi.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Tanzania, leo kama ukiwa Waziri wa Kilimo utafanya mambo gani mapya?

    Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika. Chukulia umeteuliwa kuongoza Wizara hiyo kuanzia leo, unafikiri ni mambo gani mapya utafanya tofauti na ilivyo sasa? Pia...
  6. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Ni kabila gani hapa Tanzania ambalo wanawake wa kabila husika wana Lips nene kama za wanawake wa Ki ivory coast ?

    Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ? Nataka kufaham tu, kama hulijui kabila Hii post ipite kama unazunguka Round about na pikipiki ya wizi.
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Watu wa Gym haya ni mazoezi gani na yanasaidia nini?

    Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani wanafanya root canal kwa ustadi wa juu

    Habari wakubwa, Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine. Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri. Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range kwenye ngapi?
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akibaka apewe adhabu gani ?

    Habari wakuu, Leo nimetembea tembea mtandaoni nimekutana na hoja za baadhi ya Wabunge wakitaka ipitishwe sheria ya mwanaume aliye baka adhabu yake iwe kuhasiwa, yaani korodani zitolewe nje na asiweze tena kuitumia dushe yake kwenye matumizi ya kuzagamua. Binafsi naona imekaa sawa ila ni lazima...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Biblia na Quran vinachangia kiasi gani kwenye Pato la taifa? Watumiaji wa vitabu hivi acheni kuwasakama walevi, wao ndio wanajenga taifa letu

    Inasikitisha sana. Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana. Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu. Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei. Cha...
  11. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Vodacom kuna shida gani? Nimejiunga bando la MB wamenipa dakika bila MB

    Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb. Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mkeo au Mumeo akikufanya hivi, utachukua hatua gani?

    Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni kiasi gani cha hasara ulisababishiwa na ukaamua tu kumsamehe muhusika

    nimekaa nikawaza kwa jinsi nilivo na wakati mgumu sasahivi huku nikifikiria kuwa shida yangu kwa sasa inaweza tatuliwa tu kwa laki mbili, lakini kuna mtu ameweka mamilioni benk au wamechimbia chini au mara nasikia jinsi watu wanavokula na kuishi kwa kupata kila kitu kwa kodi zetu huku sisi...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

    Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Fahamu makundi ya generations kulingana na miaka watu waliyozaliwa. Je, upo kwenye kizazi gani?

    Habari zenu wanajukwaa.. Haya ndio makundi ya generations, namna yalivyokuwa grouped katika miaka watu waliyozaliwa, kuanzia mwaka 1901.. Kitu nilichonote ni kwamba wamegroup katika interval ya miaka 16 kwenye kila kizazi.. Kuna sources kadhaa zinazoelezea hivi vizazi, na nyingine...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ni wa mkoa gani unafikiri?

  17. greater than

    JamiiForums Tanzania Vioja gani ulifanya kipindi umeanza starehe ya pombe

    Habari za mwisho wa weekend wanajamii. Naamini kila kila mtu ana aina yake ya starehe,lakini hapa nimejikita zaidi kwenye starehe yenye kuhusisha Pombe. Je,kwa Mara ya kwanza ulivyotumia ilikuwaje/ ulifanya kioja gani? Kwangu 1. Mwaka Mpya Arusha 2018, Mimi na jamaa yangu tukaenda kupata mlo...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unadhani vyama vya siasa vibebe kauli mbiu gani tunapoelekea chaguzi chaguzi mbalimbali?

    Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi. vyama na wanasiasa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

    Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini kinautambulisha mkoa wako?
  20. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Nikitengeneza kozi inayohusiana na nini ? Naweza uza bongo

    Nilikua na kaplatform kangu ka kozi, hivyo nilikua nauliza nifundishe kuhusu nini angalau naweza Pata wateja kwa hili soko la bongo na pia budget yabei ikaaje ? Naombeni maoni yenu
Back
Top Bottom