Ulianza kujamiiana ukiwa na umri gani?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Mimi nimeanza ngono nikiwa na miaka 21 sababu zipo nyingi ila mojawapo ni kutojichanganya na makundi yasiyofaa.

Muda huo nilikuwa nashuhudia vijana wadogo zaidi yangu wakizichakata.

Mwanamke wa kwenda kulala naye ile naingiza tu hata sijui ilikuwaje nikajikuta nshamaliza, na sikuweza tena mpaka anaondoka nadhani hofu ndio ilichangia.
 
Back
Top Bottom