fursa

  1. JamiiForums Tanzania Masauni atoa wito kutumia fursa zilizopo kwenye Mazingira

    Unguja. Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na mabadiliko ya Tabianchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni...
  2. JamiiForums Tanzania USHAURI: Ni sahihi kusoma certificate baada ya kuhitimu shahada ili kupata fursa za ajira?

    Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6 Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna. Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana chukua fursa: Portable Petrol Station Machine

    Habari Tanzania ! Haya vijana changamkia fursa hii. Anza pole pole kwa yule mwenye ndoto za biashara ya uuzaji mafuta ya vyombo vya moto mchongo huo hapo. Hata kama hujapata wazo la biashara; unaweza kuta unasukuma hii biz maana soko lake ni uhakika kila siku saa 24 siku 7 za wiki. Kazi ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kagera: Operesheni ya Daka Fursa na Samia (VIDAFUSA) imeanza kwa kishindo

    Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa kupitia makundi ya vijana walionufaika na mikopo ya halmashauri ya 10% kwa kusikiliza mafanikio na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Matinyi akutana na wawekezaji wa Sweden, aelezea fursa za uwekezaji

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Sweden na Afrika, kilichofanyika tarehe 6 Februari, 2026...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa ipi hapa Tanzania ambayo ukienda kusaka fursa ukiwa mgeni utapata changamoto kunufaika kiuchumi ?

    Kuna mikoa ukienda kufungua biashara, jipange kama ni mgeni
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kutafuta fursa ya ajira

    Habari za leo ndugu zangu. Naitwa Farid Hussein Issa, mhitimu wa Shahada ya Business Administration (Entrepreneurship Development) kutoka Mzumbe University. Nina uzoefu wa kufanya kazi kama Assistant Accountant, pamoja na Sales & Marketing, nikiwa na ujuzi wa matumizi ya Tally Prime, data entry...
  9. JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  10. JamiiForums Tanzania Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

    Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania? Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sina Abc za za Kahama nipeni fursa huko

    Habari wakuu kama kichwa kinavyosema hapo juu Sina abc za Mji wa Kahama naskia kipo vizuri sijawahi kufika nataka niuze simu hii nije, vipi kuhusu chumba kupanga na baadhi ya yenye shughuri za kiutafutaji, Pia mwenyeji wa mkoa wa kahama unaweza ukaninifadhili nikae Kwako cha muhimu uaminifuntu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuendelea kufaidi programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA)

    12 January 2026 Baraza la Wawakilishi laongeza muda wa mkataba wa AGOA Januari 12, 2026 WASHINGTON, DC – Baraza la Wawakilishi limepiga kura ya kuendelea na programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) na HOPE/HELP kwa Haiti, ambazo zinalinda na kuimarisha...
  13. JamiiForums Tanzania Somo kwa Watoto wetu,vilaza waliopata fursa na vijana mnaochipukia!

    Somo hili nalileta kwenu kwa ujumla yaani lina cut across kada zote zinazotakiwa kuhudumia jamii na pia jamii yenyewe inayotakiwa kuhudumiwa. MOSI: Lazima mjitambue kwamba ninyin ni watanzania na utambulisho wenu daima uatakuwa ni utanzania.Utanzania ni muunhaniko wa makabila mengi ikiwemo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni uhakika kuwa Waafrika tumeshindwa kusoma vitabu, lakini kuna fursa tunayo mikononi mwetu, 2026 simu yako iwe na networks hizi ili tujihimalishe

    Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi. Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ushirikiano wa biashara (Partnership Opportunity)

    Habari wadau. Natumaini wote wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja, Natafuta mtu au kampuni iliyo sajiliwa Tanzania kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara katika kuingiza na kusambaza bidhaa za vinywaji kutoka nje ya nchi (international beverage brand) kwenye soko la Tanzania. Kwa sasa niko...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapoteza fursa kwa kuwa wazito ktk kufanya maamuzi ya ki Biashara/ mapenzi

    Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani...
  17. JamiiForums Tanzania Fursa ya kuingiza Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (uono) Tanzania

    Habari Jamii Forums PART 1 Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae. ZINAKOPATIKANA BIDHAA KWA BEI RAHISI. Hizo bidhaa zinapatikana kwa bei ya Chini Mozambique 🇲🇿 katika...
  18. JamiiForums Tanzania Kaa kimasta! Hasira imetamalaki mtaani kwa walioikosa ile fursa!

    Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu! Hii ni misemo ya wahenga, Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa! Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa...
  19. JamiiForums Tanzania Fursa za BBT zimerejeshwa, wizara yaanza na wahitimu wa MoCU

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT). Dkt...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Live zinazofuata tuweke watu wa kututafutia fursa za masoko nje, na sisi watz tuungane kwenye kilimo, wasikae tu nje bila umuhimu wowote

    Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote kwenye izo live, kama ni masoko ya vyakula uku mashamba yapo ya kutosha mpaka yanamwagika, kama ni ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…