fursa

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Vijana wa late 70s na 80s waliopewa fursa za Uongozi lakini wamekengeuka

    Ni wazi lipo rika la vijana ambalo ndio tunalitarajia lituvushe katika kipindi cha miaka 30 hadi 40 ijayo. Wapo waliobahatika kuingia kwenye korido za Chama na Serikali...ingawa baadhi yao hawana vifua vya chuma. Hapa naongelea uropokaji wa vijana hawa both ndani ya CCM na ndani ya vyama vingine...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siwezi walaumu kopola na mkewe, maana tofaut na watu weng, wana uthubutu wa kupambania fursa, fursa iliopo mbele yao ya watu wa imani za kufikirika

    Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na alifika salama. Ila kwa sababu amekaa na wenzake ambao amezoea kula pesa zao kwa mazigaombwe basi acha...
  3. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Wakazi wa Moshi: Fursa Adimu ya Kujifunza na Kufurahia Utalii wa Ndani

    Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi, Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa kulijadili – ni fursa adhimu, inayowahusu wote, iwe bado hujaoa au kuolewa, ama hata kama tayari una...
  4. Bueno

    JamiiForums Tanzania Simba Wamekula Hasara, Oh Zimbwe Jr Mzee hatumtaki, Yanga wakachungulia Wakaiona Fursa Wakamchukua

    Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr. Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fursa za uchaguzi wa CCM toka asubuhi nimeuza Kangala mpaka nimechoka.

    Wajumbe ni watu wema sana. Leo wamekula mitungi acha kabisa tangu saa moja asubuhi. Wamenipigia kangala mixer na kitoko, ambiance, Kigogo na kila kilichopita mbele yao. Sasa hivi wapo hoi wanasubiri majibu. Kesho ndio nitaenda kufundisha vijana wenu.
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Dola imeanza kushuka tena, Je ni fursa?

    Dollar ya marekani sasa imeanza tena kushuka na kufika 2450 huku ikitarajiwa huenda ikagonga 2280 , hata hivyo haitegemei kusalia hapo kwa muda mrefu inaweza kupanda tena kuelekea mwishoni mwa mwaka huu mpaka january 2026. Kama itapdanada tena kwa watu watakao nunua dollar 2300 na kuiuza 2700...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania FURSA uzinduzi kituo Cha kibiashara Ubungo

    Habari
  8. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni mpango wa mawanaume, ni fursa kwa mwanamke

    Leo hapa kijiweni NYASAKA CENTER. mzee wetu leo kaja na neno la kutuambia vijana kuhusu NDOA. Ndoa ni mpango mzuri kwa mwanaume na ni fursa kwa MWANAMKE akiwa na maana ya kwamba Mwanaume ili aoe ni lazima awe amependa na ameamua ila MWANAMKE ili aolewe 99% wanaangalia nini atapata kwenye ndoa...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Vijana tumejiandaa vipi na fursa zinazotokana na wafanyabiashara wa kigeni waliozuiwa kufanya biashara nchini?

    Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Shuleni na Vyuoni ,ChatGTP imeleta fursa na Changamoto gani katika Taaluma?

    Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work ! Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wizara: Tanzania ipo tayari Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde

    Tanzania imesesema ipo tayari kwa ajili ya Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde ikiwemo kuwa na mifumo ,pamoja na miundombinu itakayo linda faragha na usalama wa taarifa binafsi wakati wa matumizi ya akili unde. Akizungumza kwa niaba ya serikali ya tanzania katika jukwaa la...
  12. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Ambae upo interested na kilimo cha bustani.. fursa hii

    Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo.. Wewe njoo na mpira wake tu Location: Kimara mwisho, karibu na shule ya msingi mavurunza, bonde la...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amaliza ziara Belarus, anadi fursa za uwekezaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ametumia ziara yake nchini Belarus kunadi fursa za uwekezaji katika maeneo manne ya kipaumbele ya Serikali ya awamu ya sita ambayo ni kilimo, afya, madini na ulinzi & usalama. Waziri Mkuu katika siku mbili za ziara yake...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM rekebisheni uandishi wa Vyeti, mnatukosesha fursa kwenye Ajira Portal!

    Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal. Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dar,Mwanza Mbeya ni namba tatu kwenye fursa za uchumi

    naifahamu Tanzania nzima kwa kufika maeneo mengi na kufanya biashara, Nimendesha Lori karibu kila sehemu ya nchi hii nimefika , na Mimi ukitoa mengine yote ninaposafiri huwa nasoma fursa za kiuchumi za maeneo husika. Hili limenifanya nijifunze hili ukitoa jiji La Dar, na mwanza ambayo yana...
  17. Gumasa

    JamiiForums Tanzania Kama humiliki/huna kiwanja/plot hii Ni fursa kwako.Changamka

    Ninaendelea kuwakumbusha watu wote ambao wanahitaji kumiliki viwanja vya gharama nafuu maeneo ya pembezoni mwa jiji la Mwanza bado vinapatikana.Changamkia fursa hii Sasa kwa kuhakikisha unajipatia plot yako kwa gharama nzuri kwani kadri muda unavyoenda ndivyo gharama ya viwanja huongezeka bila...
  18. Kusena

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya kazi halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  19. Ebrahim98

    JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi

    Habari waungwana. Nauza asali mbichi kwa bei ya jumla, kutoka mkoa wa Tabora. Lita 1 ni elfu kumi 10k Lita 5 ni elfu hamsini 50k. Lita 20 ni laki mbili mzigo wako. Baki salama.
  20. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Ukipata fursa wee piga tu

    Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake. Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji. Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao...
Back
Top Bottom