fursa

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya 10% kwa Vikundi: Fursa ya Kujenga Uchumi

    Tunapoona vikundi vya wajasiriamali 33,594 vikifikiwa na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kupitia Serikali tunapaswa kutafakari kwa kina Je hii si ishara kwamba Serikali inaendelea kufungua milango ya wananchi kushiriki moja kwa moja katika uchumi wa nchi yao? Pongezi za dhati zimwendee...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kozi ya 'Community Development for Water Supply and Sanitation' kwanini fursa zake za ajira haziwekwi wazi?

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu kozi ya Community Development for Water Supply and Sanitation (CDWSS) inayotolewa na Chuo cha Maji (Water Institute) chini wa Wizara ya Maji. Kozi hii ni specific kwenye sekta ya Maji na usafi wa mazingira lakini cha kusikitisha, hakuna utaratibu wa wazi...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania EACOP: Bomba la mafuta la Afrika Mashariki

    Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443 Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unajua unaweza kuanzisha biashara ya unga wa Lishe kwa mtaji unaoweza kumudu?

    Mahitaji ya vyakula vyenye virutubisho yanaendelea kuongezeka, huku watu wengi wakitafuta bidhaa zinazoweza kuwasaidia kupata lishe bora. Hali hii inafanya biashara ya unga wa lishe kuwa fursa nzuri kwa mjasiriamali anayetaka kuanza kwa kiwango kidogo na kuikuza hatua kwa hatua. Hata hivyo...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Serbia Kuimarisha Diplomasia ya Uchumi, Kupanua Fursa

    Tanzania na Serbia zimekubaliana kuanzisha Tume ya Pamoja ya Uchumi kwa lengo la kukuza biashara, uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud...
  6. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watu vs Fursa za ajira

  7. A

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mhitimu wa digrii au diploma ya kodi na bado hujapata ajira wala fursa ya kupata uzoefu wa vitendo, taarifa hii ni kwa ajili yako.

    HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo. Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania 'Uwezo wa kupita kiasi au fursa?' Afrika yatoa jibu tofauti na nchi za Magharibi

    Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Gazeti la South China Morning Post la Singapore inasema, kutokana na bei ya magari ya umeme, betri, na vipuri vilivyotengenezwa nchini China kuendelea kushuka, nchi nyingi za Afrika zinatumai kutumia fursa hii kupunguza gharama za mchakato wao wa nishati ya...
  9. Denice Maxwell

    JamiiForums Tanzania Vijana muacheni Rais Samia afanye anavyoviweza, hawezi kuridhisha kila moja

    Watanzania wenzangu, hasa vijana, jikiteni kwenye kuzitafuta fursa. Achana na siasa vijana wenzangu, acheni kutumia mitandao ya kijamii kutoa maneno yasiyo mazuri kwa viongozi. Kumbuka Mungu anatutazama, ipo siku utaeleza kwanini ulitumia maneno hayo ya matusi na dhihaka. Mama Samia ni Mtulivu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Nchimbi atatakiwa kuachia Umakamu, tutumie fursa hii kuchochea Uhuru wa Tanganyika.

    Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru. Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
  11. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Fursa! Kiwanja Kilichopimwa chenye Huduma Zote

    Kiwanja kinauzwa KIBAHA KWA MFIPA kwa dharura 6M,kina sq merter za mraba 500+ Hizi ni picha kiwanja kilipo, kuna huduma zote muhimu na tayari kuna makazi ya watu. Kimepimwa tayari na hakina udalali, changu mwenyewe Kutoka morogoro road hadi site ni km 5 Mawasiliano 0754088347
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Miamala ya Airtel Money inavyowapa Wateja fursa za zawadi

    Wateja wa Airtel Tanzania wanaendelea kupata fursa za kushinda zawadi mbalimbali kupitia miamala yao ya kawaida ya Airtel Money, chini ya kampeni ya Minyoosho Inaendelea ambayo inawahamasisha wateja kutumia Airtel Money katika shughuli zao za kila siku, huku miamala inayokidhi vigezo ikiwapa...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mradi wa JNHPP: Fursa Mpya za Maendeleo Tanzania

    Samia Amkosha, Mbowe JNHPP! JNHPP ni mradi wa kihistoria na fahari ya Tanzania. Ni hatua kubwa itakayoongeza fursa za uzalishaji, uwekezaji na ajira kwa Watanzania. “Ndoto imetimia,” Rais Samia amesema, akisisitiza umuhimu wa mradi huu katika kuchochea maendeleo ya Taifa.
  14. Agent Smith

    JamiiForums Tanzania Mwenye fursa au information ya kazi yoyote msaada wako unahitajika

    Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika. Kuuza duka, storekeeper, kufanya kazi godown, kazi inayohusu taaluma niliyosemea procurement and logistic management, saidia...
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Haya yalikuwa makosa ya kimkakati-Yametupokonya fursa

    Anaandika Askofu Bagonza Kalikawe Lwakalinda Taifa linahitaji Maridhiano. Yawe ya kweli au ya hila, ni muhimu kutambua makosa matatu ya kimkakati yaliyotupokonya fursa na sifa nzuri ya taifa letu. Kwa uwazi au kwa siri tujutie haya: 1. Kumfunga Freeman Mbowe kwa miezi 8. Ndani ya CDM na CCM...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Je vijana wa tanzania wanapata fursa za kuonesha innovations zao?

    Vijana wa tanzania kwa miaka ya hivi karibuni wanaonesha muamko mkubwa katika kuumiza vichwa na kuja na innovations ambazo zinaweza kutafuta changamoto za Moja kwa Moja kwa jamii ya watanzania na pili kuleta fursa za kipato lakini swali linabaki Kuna majukwaa sahihi ya kufukisha bunifu zao na je...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Bandari Mtwara ulivyoibua fursa za kiuchumi

    Wananchi na mawakala wa meli wamezungumzia fursa mbalimbali zinazotokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Mtwara. Mizigo inayopakiwa na au kushushwa kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya...
  18. Mr Alpha

    JamiiForums Tanzania Fursa haitangazwi na ikitangazwa ujuwe ww ndo fursa. utapigwa hela

    Forex trader wanatangaza Lifestyle huku wanaficha Bidhaa wanayouza (Courses).......Waseme ukweli hela wanapata kwenye Course na sio Ku-trade
  19. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Sasa kijana tumia fursa kabla haujawahiwa

    Ndugu vijana wenzangu ni wakati sasa wa sisi kutafuta fursa kwa wanawake walio jipata. Kama mwanasaikolojia mwenyewe kathibitisha kwa nini tukatae.. Kwa sisi tulio Dar, ni muda mwafaka sasa kuwinda mishangazi na kuipelekea moto ili tupate mianya ya hela na mafanikio. Sikiliza hapa👇 Kikubwa...
  20. Xmonster

    JamiiForums Tanzania WASHI CEMENT KUJENGA KIWANDA CHA SARUJI TANGA

    📰 WASHI CEMENT KUJENGA KIWANDA CHA SARUJI TANGA Tanga yazidi kuvutia uwekezaji mkubwa katika sekta ya ujenzi. Kampuni ya Washi Cement Group Company Limited kutoka China imewasilisha mpango wa kuwekeza katika ujenzi wa kiwanda kipya cha saruji mkoani Tanga, ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika...
Back
Top Bottom