Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
🏢
👉 Kinafaa kwa ujenzi hadi ghorofa 12
Fikiria mapato ya:
✔ Rentals
✔ Airbnb
✔ Offices
💰 Hii sio kiwanja — ni opportunity ya kutengeneza pesa kila mwezi!
⚠️ Viwanja vya ukubwa huu Upanga ni nadra sana kupatikana
Usikose nafasi hii!
📲 Call/WhatsApp: 0784 225 000
👉 Serious investors only
Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari.
Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika hatihati ya matatizo yatokanayo na vita; kama vile changamoto za kiuchumi.
Baadhi ya mataifa...
Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji.
Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima kama hii ya chanagamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta kama ambavyo imeiathiri na kuihangaisha dunia...
🏗️ FURSA YA UJENZI & CONNECTIONS TANZANIA NZIMA! 🇹🇿
Je, wewe ni Fundi stadi, Muuzaji wa vifaa, au Mwenye nyumba unayetafuta huduma bora? Huu ndio mchongo wako!
Tumeanzisha Group la UJENZI & CONNECTIONS TZ kwa lengo la kuunganisha wataalamu na fursa nchi nzima.
🛠️ KWA MAFUNDI (Fani Zote)...
Hilo linawezekana ingawa kuna gharama ila inawezekana kabisa kwa gari nyingi zilizopo hapa tanzania kubadilishwa mfumo ila lazima fundibawe mjuzi sana wanhizi mambo
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote...
Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI – KARATU MJINI
Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Hii hapa nafasi ambayo haitokei mara kwa mara.
Eneo lenye ukubwa wa ekari 3.5, lipo katikati ya mji wa Karatu, sehemu yenye uhai wa biashara na mtiririko wa watalii mwaka mzima. Linapatikana...
Wakuu naomba anaefahamu anisaidie kufahamu biashara ya bandarini pale inafanyikaje na fursa zake pale ni zipi.
Yani nataka kujua zile meli zinamlipa nani na nani au zinalipwa na nani?
Dp world au adani yeye anapataje pesa ikiwa achukui kodi?
Wale wenye malori yenye kontena wanafanya vipi...
KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa.
Ujenzi wa meli hizo ulianza Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka...
Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
Habari wanajamii,
Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania.
Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya...
Unguja. Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na mabadiliko ya Tabianchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni...
Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6
Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna.
Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
Habari Tanzania !
Haya vijana changamkia fursa hii. Anza pole pole kwa yule mwenye ndoto za biashara ya uuzaji mafuta ya vyombo vya moto mchongo huo hapo. Hata kama hujapata wazo la biashara; unaweza kuta unasukuma hii biz maana soko lake ni uhakika kila siku saa 24 siku 7 za wiki. Kazi ni...
Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa kupitia makundi ya vijana walionufaika na mikopo ya halmashauri ya 10% kwa kusikiliza mafanikio na...
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.