fursa

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Matinyi akutana na wawekezaji wa Sweden, aelezea fursa za uwekezaji

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Sweden na Afrika, kilichofanyika tarehe 6 Februari, 2026...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa ipi hapa Tanzania ambayo ukienda kusaka fursa ukiwa mgeni utapata changamoto kunufaika kiuchumi ?

    Kuna mikoa ukienda kufungua biashara, jipange kama ni mgeni
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kutafuta fursa ya ajira

    Habari za leo ndugu zangu. Naitwa Farid Hussein Issa, mhitimu wa Shahada ya Business Administration (Entrepreneurship Development) kutoka Mzumbe University. Nina uzoefu wa kufanya kazi kama Assistant Accountant, pamoja na Sales & Marketing, nikiwa na ujuzi wa matumizi ya Tally Prime, data entry...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

    Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania? Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sina Abc za za Kahama nipeni fursa huko

    Habari wakuu kama kichwa kinavyosema hapo juu Sina abc za Mji wa Kahama naskia kipo vizuri sijawahi kufika nataka niuze simu hii nije, vipi kuhusu chumba kupanga na baadhi ya yenye shughuri za kiutafutaji, Pia mwenyeji wa mkoa wa kahama unaweza ukaninifadhili nikae Kwako cha muhimu uaminifuntu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuendelea kufaidi programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA)

    12 January 2026 Baraza la Wawakilishi laongeza muda wa mkataba wa AGOA Januari 12, 2026 WASHINGTON, DC – Baraza la Wawakilishi limepiga kura ya kuendelea na programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) na HOPE/HELP kwa Haiti, ambazo zinalinda na kuimarisha...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Somo kwa Watoto wetu,vilaza waliopata fursa na vijana mnaochipukia!

    Somo hili nalileta kwenu kwa ujumla yaani lina cut across kada zote zinazotakiwa kuhudumia jamii na pia jamii yenyewe inayotakiwa kuhudumiwa. MOSI: Lazima mjitambue kwamba ninyin ni watanzania na utambulisho wenu daima uatakuwa ni utanzania.Utanzania ni muunhaniko wa makabila mengi ikiwemo...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni uhakika kuwa Waafrika tumeshindwa kusoma vitabu, lakini kuna fursa tunayo mikononi mwetu, 2026 simu yako iwe na networks hizi ili tujihimalishe

    Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi. Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ushirikiano wa biashara (Partnership Opportunity)

    Habari wadau. Natumaini wote wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja, Natafuta mtu au kampuni iliyo sajiliwa Tanzania kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara katika kuingiza na kusambaza bidhaa za vinywaji kutoka nje ya nchi (international beverage brand) kwenye soko la Tanzania. Kwa sasa niko...
  11. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapoteza fursa kwa kuwa wazito ktk kufanya maamuzi ya ki Biashara/ mapenzi

    Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani...
  12. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuingiza Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (uono) Tanzania

    Habari Jamii Forums PART 1 Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae. ZINAKOPATIKANA BIDHAA KWA BEI RAHISI. Hizo bidhaa zinapatikana kwa bei ya Chini Mozambique 🇲🇿 katika...
  13. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Kaa kimasta! Hasira imetamalaki mtaani kwa walioikosa ile fursa!

    Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu! Hii ni misemo ya wahenga, Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa! Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Fursa za BBT zimerejeshwa, wizara yaanza na wahitimu wa MoCU

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT). Dkt...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Live zinazofuata tuweke watu wa kututafutia fursa za masoko nje, na sisi watz tuungane kwenye kilimo, wasikae tu nje bila umuhimu wowote

    Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote kwenye izo live, kama ni masoko ya vyakula uku mashamba yapo ya kutosha mpaka yanamwagika, kama ni ajira...
  16. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano ya D9 tarehe 9/12, tumieni hiyo fursa watanzania

    Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ajira ya kazi ya kibarua kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja malipo 12000 kwa siku

    Habari JF Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika...
  18. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29 na fursa ya utajiri wa nje nje

    Tengeneza jezi zako, andika , TANGANYIKA, ingiza mtaani Fanya BIASHARA ziuze bei chee TU achana na Simba na yanga we uza bei che vi faida kidogo TU ndani ya mwaka mmoja Yani 2026 TU, piga hesabu yako vizuri. Masoko Vyuo vikuu, mtandaoni ndo baba lao, Haya tajirika na wewe, hakikisha Kuna chapa...
  19. Chibike

    JamiiForums Tanzania Tupeane fursa zilizopo katika sekta ya uvuvi/baharini kwa wafanyabiashara

    Kichwa Cha habari chajitosheleza Sekta ya uvuvi kwa ujumla kwa mfanyabiashara Mdogo anaweza kufaidika kwa kufanya michongo ipi Seamen karibuni...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kitila: Serikali yatangaza mikakati 8 ya kupanua ajira kwa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini. Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
Back
Top Bottom